cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Kakasirika kuitwa MbuziKwani analazimishwa. Unathani social media ni chakula ebu kua mama
Wanatafuta wenyew kiki alafu wanalalamikaHawa wasanii sijui lini akili zao zitakuwa sawa, kama sio wao kujirusha kwenye kila matukio mpaka ya kukulana nani angekuwa na muda nao!????
Kiufupi aache kurusha hovyo habari zake
akimbilie ccm ndio mkombozi wa makarai
Wakwende huko wasituchoshe sie, hata hapo anatafuta kiki tu hakuna jipyaWanatafuta wenyew kiki alafu wanalalamika
KAMANDA Wema ana roho nyepesi.