cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Ha ha haaaaaaaaa
Naona kashauriwa njia hii ajaribu tena..
Kashindwa mwenyewe kuitumia vizuri mitandao kujiongeza.. hapo angetaka kutoka angefanya kinya kimya.. yale yale yake kutafuta huruma.. ooh jamani mama cha huruma..