Kabla hata ya Insta wema ni mtu wa kusemwa sana
siku akihamia ccm na mange atamfuata ccm..watu wengine bana mnashindwa kumuelewa hata akili ya mange
mange atamfuata wema popote pale alipo
kwani nani alimfanya mange aanze kuwaponda CCM? Si ni wema alivyojitoa CCM?
Ameanza kuponda Ccm baada ya bunge live kuondolewa wema wa juzi tu hapasiku akihamia ccm na mange atamfuata ccm..watu wengine bana mnashindwa kumuelewa hata akili ya mange
mange atamfuata wema popote pale alipo
kwani nani alimfanya mange aanze kuwaponda CCM? Si ni wema alivyojitoa CCM?
Haa Geni jamani...Afe tu
umeona ehee sema manyumbu mengi ndio hayanaga kazi kazi kusifia tu yaani huwaga nayadharau sana au pengine hayo majitu ni ya vijijini yatakuwaTatizo anapenda sana asifiwe..
[emoji15] [emoji15] is it?Nadhani ni ishu ya Mange Kimambi kutoboa siri kuwa anarudi CCM!
Kwanini?[emoji15] [emoji15] is it?
Kwa mange siwezi kuingia