Wema Sepetu auchukia uongozi wa awamu ya tano.

Anaacha kuuchukia uzee anaourudisha miaka kila siku achukie Serikali.
 
Hayatuhusu ye ndio alikuwa kimbelembele na slogan yake ya mama ongea na mwanao kiufupi tu akaongee na mama yake yanayomkuta aliichagua mwenyewe apambane na hali yake
 
"""""beiby fly to KIA""""....

Picha ndo linaanza...
 
Why should we believe wema, she is not at all a trustable person, the way she lives and tries to make money is immoral and an immoral person can never be trusted.

Show us the pictures of your brother if he was trully your brother when he was is hospital near death and the injuries.

Otherwise you are trying to gain sympathy with lies

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningekupa likes nyingi sana sema system hairuhusu

Umetoa elimu kuuubwa ila ujue kabisa kuna watu wanaitwa vilaza. Kama huwajui let me know
 
Huyu socialite aawachie siasa wenyewe, aendelee na mapenzi na ngada zake...
 
Wakati mnazunguka nchi nzima kupiga debe kisa mnalipwa hukuyajua haya?
Mlichosaidia kukipanda ndicho tunachovuna kwa panoja Wema tulia unyolewe tulia tuvune sote ulichosaidia kupanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…