Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walijiita: TEAM -MAMA SEMA NA MWANAO!Aendelee tu kuyavuna aliyoyapanda mwenyewe.
Pitia tena uzi kuna kitu utagundua kwamba kuna mtu alikuwa anadundwa
Bado hajatua KIA ruzuku ya CDM sasa hivi ina gombaniwa haiwezi kumtosha wema
....Kuna siku yatakuhusu tuu,just wait.Hayo ni yake, sisi hayatuhusu.
Ningekupa likes nyingi sana sema system hairuhusuUnachoshabikia sikioni,kumbuka haya mambo ni kupokezana tu nani alijua kama Adam Malima atadindishiwa na yule kijana polisi kiasi cha kufyatuliwa risasi?! Hivyo si vyema kuweka ushabiki Mbele kama kweli kijana alikosea kwa kukiuka taratibu za kimahakama basi polisi wao sio mahakimu mpaka wamuhukumu kwa kichapo wangemfungulia mashtaka,Leo kwako kesho ni kwetu Mimi na wewe kumbuka hatujakamilika kiasi cha sisi na ndugu ZETU kuto kufanya makosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke mdogo wa mboweHuyu socialite aawachie siasa wenyewe, aendelee na mapenzi na ngada zake...
Yeah, hata jana nilikuwa kazini nikishiklia paja la wema huku mwenyekiti mtukufu akifanya yake
Basi lisilokuhusu lisikusumbue,wewe timiza wajibu wako wa kazi mengine waachie wenyeweYeah, hata jana nilikuwa kazini nikishiklia paja la wema huku mwenyekiti mtukufu akifanya yake
Sent using Jamii Forums mobile app