jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,645
Baada ya kusimama kama sio kuporomoka kabisa kwa hii tasnia ya filam Tanzania.Msanii Wema Sepetu a.k.a ex-wa diamond amekuja kwa kasi baada ya kuanza ushiriki katika international movie huku akishiliki na msanii maarufu wa Ghana Van Vicker!
Inasemekana Wema anaijaribu kuboresha sanaa ya bongo in international level kama alivokua akielekea Marehem Steven Kanumba.
Inasemekana Wema anaijaribu kuboresha sanaa ya bongo in international level kama alivokua akielekea Marehem Steven Kanumba.