Wema Sepetu awa kama Kanumba

Wema Sepetu awa kama Kanumba

jiwekuu770

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
2,246
Reaction score
1,645
Baada ya kusimama kama sio kuporomoka kabisa kwa hii tasnia ya filam Tanzania.Msanii Wema Sepetu a.k.a ex-wa diamond amekuja kwa kasi baada ya kuanza ushiriki katika international movie huku akishiliki na msanii maarufu wa Ghana Van Vicker!

Inasemekana Wema anaijaribu kuboresha sanaa ya bongo in international level kama alivokua akielekea Marehem Steven Kanumba
.
 
Hawezi kufka mbali kutokana Na Damu yake ya kunguni Na u.m.a.l.a.y.a wake.Tzia artist ni sawa Na chumv maskin haina sifa mchuzin Na hili latokana Na kutokuwa wabunifu.copies daily music copy filam copy football tunajfananisha Na..... Uvivu mwanzomwisho We are not seriously enough. Kutokana Na dhambi ya uasharati wake ataanguka ka mnara Wa babeli hanivutii kwa sura Wala kazi zake
 
WeEwEe ni KiMAaaaa PoRii. nikIaMbiwA niChAgue SeheMu yoyOtE ninGekuPelEkA kwa MadiBa ukaFiee huko. Yaani watAnzania ndo mAaana haTueNdelEi badaLa ya kUtoA mawAzo positiVe unAisHia kupRoducE usHuuzi Tu.
NaKubAli ndi o wEma ni MhUni ilA inApokUja kwEnye swalA la Kazi yAke yuKo vizuri so wEka chUki pemBeni na umSapOti kazI za mTanZania mweNzako.
#Kuwa MzAlenDo.
 
Hâta afanyeje kamwe hawez toka, bishololo la mjini lile,kila mtu kamchoka,filamu zote wanaiga mbafu
 
WeEwEe ni KiMAaaaa PoRii. nikIaMbiwA niChAgue SeheMu yoyOtE ninGekuPelEkA kwa MadiBa ukaFiee huko. Yaani watAnzania ndo mAaana haTueNdelEi badaLa ya kUtoA mawAzo positiVe unAisHia kupRoducE usHuuzi Tu.
NaKubAli ndi o wEma ni MhUni ilA inApokUja kwEnye swalA la Kazi yAke yuKo vizuri so wEka chUki pemBeni na umSapOti kazI za mTanZania mweNzako.
#Kuwa MzAlenDo.

Pia ile lugha yetu " kithungu anakijua vizuri kwanza ile gramma kabisa English English sio American English. Kwa hiyo yuko poa
 
Baada ya kusimama kama sio kuporomoka kabisa kwa hii tasnia ya filam Tanzania.Msanii Wema Sepetu a.k.a ex-wa diamond amekuja kwa kasi baada ya kuanza ushiriki katika international movie huku akishiliki na msanii maarufu wa Ghana Van Vicker!!Inasemekana Wema anaijaribu kuboresha sanaa ya bongo in international level kama alivokua akielekea Marehem Steven Kanumba

Mungu amjalie tunamuombea mafanikio sana
 
WeEwEe ni KiMAaaaa PoRii. nikIaMbiwA niChAgue SeheMu yoyOtE ninGekuPelEkA kwa MadiBa ukaFiee huko. Yaani watAnzania ndo mAaana haTueNdelEi badaLa ya kUtoA mawAzo positiVe unAisHia kupRoducE usHuuzi Tu.
NaKubAli ndi o wEma ni MhUni ilA inApokUja kwEnye swalA la Kazi yAke yuKo vizuri so wEka chUki pemBeni na umSapOti kazI za mTanZania mweNzako.
#Kuwa MzAlenDo.

mkuu ni kweli wewe ni mzalendo usiyependa kuona wazawa wakididimizwa ...ila tatizo lako ni moja tu...yaani unavyoandika kama umesoma ngumbaro.
 
WeEwEe ni KiMAaaaa PoRii. nikIaMbiwA niChAgue SeheMu yoyOtE ninGekuPelEkA kwa MadiBa ukaFiee huko. Yaani watAnzania ndo mAaana haTueNdelEi badaLa ya kUtoA mawAzo positiVe unAisHia kupRoducE usHuuzi Tu.
NaKubAli ndi o wEma ni MhUni ilA inApokUja kwEnye swalA la Kazi yAke yuKo vizuri so wEka chUki pemBeni na umSapOti kazI za mTanZania mweNzako.
#Kuwa MzAlenDo.

Mkuu ulipita darasa la pili? Huoni tatizo kuchanganya herufi?
 
She is not competent enough to be role model of Tanzania artists. She is very opportunistic, Wema anadandia dandia vitu.
Kifupi She is suffering from certain mental illness called as Attention Seeking Disorder, soon utasikia ameingia kwenye siasa nk.
Ni uwendawazimu wa hali ya juu sana kwa msanii wa Bongo movie kutaka kufuata nyendo za Wema.
 
WeEwEe ni KiMAaaaa PoRii. nikIaMbiwA niChAgue SeheMu yoyOtE ninGekuPelEkA kwa MadiBa ukaFiee huko. Yaani watAnzania ndo mAaana haTueNdelEi badaLa ya kUtoA mawAzo positiVe unAisHia kupRoducE usHuuzi Tu.
NaKubAli ndi o wEma ni MhUni ilA inApokUja kwEnye swalA la Kazi yAke yuKo vizuri so wEka chUki pemBeni na umSapOti kazI za mTanZania mweNzako.
#Kuwa MzAlenDo.
Thread zako zinatuumiza hv huwezi andika vzuri tukapata hoja zako katika hali ya utulivu? maana ukisoma mpaka mwisho utadhani mtu umebeba gunia la mchanga. !
 
Huyu kuitangaza Tz no bora isingekuwa nchi yangu,kahaba huyu aliyepanua miguu karibu kwa kila mwanaume mwenye pesa hapa Tz na umalaya alionao sioni hizo Baraka mnazomwombea kwa Mungu zitaingilia mlango upi make matendo yao dhahiri hayakubaliki katika jamii yoyote ile inayofata maadili kwa kizazi na vizazi,no kitu gani unaweza kumwambia mwanao amuige huyu malaya kama kweli unamthamini mwanao
 
Sipendagi kuwadiscuss watu stupid kwenye ishu za Tanzania yangu,anatafuta bwana nje huyo hamshituki tu!..filamu gani zakuonyeshana mapaja ukimwambia acheze kama house gal hataki...filamu Nigeria bongo copy & pest that's all.
 
Ndiyo Tanzania yetu hiyo ya sasa,watu wasio na maadili wala sifa njema kwenye jamii,ndio wanaoongelewa sana,utakuta makahaba na waasherati ndio wanaitwa mastaa
 
Back
Top Bottom