jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,645
Hawezi kufka mbali kutokana Na Damu yake ya kunguni Na u.m.a.l.a.y.a wake.Tzia artist ni sawa Na chumv maskin haina sifa mchuzin Na hili latokana Na kutokuwa wabunifu.copies daily music copy filam copy football tunajfananisha Na..... Uvivu mwanzomwisho We are not seriously enough. Kutokana Na dhambi ya uasharati wake ataanguka ka mnara Wa babeli hanivutii kwa sura Wala kazi zake
WeEwEe ni KiMAaaaa PoRii. nikIaMbiwA niChAgue SeheMu yoyOtE ninGekuPelEkA kwa MadiBa ukaFiee huko. Yaani watAnzania ndo mAaana haTueNdelEi badaLa ya kUtoA mawAzo positiVe unAisHia kupRoducE usHuuzi Tu.
NaKubAli ndi o wEma ni MhUni ilA inApokUja kwEnye swalA la Kazi yAke yuKo vizuri so wEka chUki pemBeni na umSapOti kazI za mTanZania mweNzako.
#Kuwa MzAlenDo.
Baada ya kusimama kama sio kuporomoka kabisa kwa hii tasnia ya filam Tanzania.Msanii Wema Sepetu a.k.a ex-wa diamond amekuja kwa kasi baada ya kuanza ushiriki katika international movie huku akishiliki na msanii maarufu wa Ghana Van Vicker!!Inasemekana Wema anaijaribu kuboresha sanaa ya bongo in international level kama alivokua akielekea Marehem Steven Kanumba
WeEwEe ni KiMAaaaa PoRii. nikIaMbiwA niChAgue SeheMu yoyOtE ninGekuPelEkA kwa MadiBa ukaFiee huko. Yaani watAnzania ndo mAaana haTueNdelEi badaLa ya kUtoA mawAzo positiVe unAisHia kupRoducE usHuuzi Tu.
NaKubAli ndi o wEma ni MhUni ilA inApokUja kwEnye swalA la Kazi yAke yuKo vizuri so wEka chUki pemBeni na umSapOti kazI za mTanZania mweNzako.
#Kuwa MzAlenDo.
Mwenyezi Mungu amtangulie kwenye mambo yake....
mkuu ni kweli wewe ni mzalendo usiyependa kuona wazawa wakididimizwa ...ila tatizo lako ni moja tu...yaani unavyoandika kama umesoma ngumbaro.
WeEwEe ni KiMAaaaa PoRii. nikIaMbiwA niChAgue SeheMu yoyOtE ninGekuPelEkA kwa MadiBa ukaFiee huko. Yaani watAnzania ndo mAaana haTueNdelEi badaLa ya kUtoA mawAzo positiVe unAisHia kupRoducE usHuuzi Tu.
NaKubAli ndi o wEma ni MhUni ilA inApokUja kwEnye swalA la Kazi yAke yuKo vizuri so wEka chUki pemBeni na umSapOti kazI za mTanZania mweNzako.
#Kuwa MzAlenDo.
Huwa sisomi post zake
Thread zako zinatuumiza hv huwezi andika vzuri tukapata hoja zako katika hali ya utulivu? maana ukisoma mpaka mwisho utadhani mtu umebeba gunia la mchanga. !WeEwEe ni KiMAaaaa PoRii. nikIaMbiwA niChAgue SeheMu yoyOtE ninGekuPelEkA kwa MadiBa ukaFiee huko. Yaani watAnzania ndo mAaana haTueNdelEi badaLa ya kUtoA mawAzo positiVe unAisHia kupRoducE usHuuzi Tu.
NaKubAli ndi o wEma ni MhUni ilA inApokUja kwEnye swalA la Kazi yAke yuKo vizuri so wEka chUki pemBeni na umSapOti kazI za mTanZania mweNzako.
#Kuwa MzAlenDo.
Unakosea.. Il ujijue kama wewe ni mrefu lazima wafupi wawepo. And vice versa. Otherwise hakuna refference. Na utamu wa maisha upo kwenye tofauti zetu