Ana tofauti gani na master wenu muuza faragha za watu Mange KimaviHuyu kicheche hana umuhimu kwa sasa!
Ningeshangaa kupost hvyo kwenyweaccount yakeHiyo sio account ya wema sepetu.
Mji kuwa kimya siku ya sherehe ya uhuru ni kejeli kwa watawala, si Gen Z.
Wema aendeleza vita yake na Gen Z ambao wanataka kuandamana.
Ameonekana leo kuwakejeli baada ya maandamano kushindwa kufanyika mpaka hivi sasa kutokana na ulinzi mkali uliowekwa ili kuilinda serikali.
Wema alizunguka nchi nzima kumnadi Samia.
Leo hakuna hata wale so called makomandoo wanaovunjaga matofali ya mchanga uwanjani 😀.Mji kuwa kinya siku ya sherehe ya uhuru ni kejeli kwa watawala, si Gen Z.
Maana yake watawala wamelazimishwa wasisherehekee siku ya uhuru.
Haelewi wapi?
😅😅Maskini wakimrudishia kuhusu kukosa mtoto ataanza kulia na kutishia kujiua. Mwanakulitaka mwana kulipata. Awe makini maji yaliyotulia huwa yana hatari kubwa chini yake
Huyu msamegeni tu mgumba huyu.....apambane tu .....kumlilia Mungu wake.....ampe angalau mtotoo.....mengine tumuachie yeye