PostGE2025 Wema Sepetu awakejeli Gen Z: Tena mnikome panzi pori nyie. Nasikia mji upo kimyaaa

PostGE2025 Wema Sepetu awakejeli Gen Z: Tena mnikome panzi pori nyie. Nasikia mji upo kimyaaa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Wema aendeleza vita yake na Gen Z ambao wanataka kuandamana.

Ameonekana leo kuwakejeli baada ya maandamano kushindwa kufanyika mpaka hivi sasa kutokana na ulinzi mkali uliowekwa ili kuilinda serikali.

Wema alizunguka nchi nzima kumnadi Samia.
Hasira za utasa wake ndiyo anazimalizia kwa Gen Z?
 
Back
Top Bottom