Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
hajakatazwa kufanya yake na kwanza maneno ya watu si sheria ila tunachokisema hadhi ya hilo tangazo imeshushwa na muonekano mbaya wa wema. HAJAPENDEZA!
Hiyo avatar inanifanya nitafakari juu ya mashamba ya urithi, sijui niyauze tu!!!
ni bahati mbaya sana hata vilaza wanapata fursa ya kujadili ndan ya nyumba hii ya great thinkers. habari za kunya tikiti zimetokea wapi?
hahahahahahah haters wa mange wamekuchanganya wallah unajiquote mwenyewe lol
Yes ukanye tikiti na haters wenzako. Ndio hivyo bahati ilishamuangukia baki tu ukiungulika moyoni. Kama mie kilaza wewe ni kiamshi...
Hamjui ukifanya PROFESSIONAL PHOTO SHOOT kama hilo tangazo kila kitu kinaamuliwa na PROFESSIONALS.? Wema hapo hakuwa na say! Hilo labda mumlaumu costume designer au make up artist kama alichagua hio look,! Kiroho safi lakini!
Hshhhahhhhaaaahhhaaa we lichokozii nimeuona nikachekaaaa balaaaaa
Hiyo avatar inanifanya nitafakari juu ya mashamba ya urithi, sijui niyauze tu!!!
Hahhhaaaas hapa Angaliaa maana najua wampenda Wemaa ila yule mwinginee nooooo
Bora tumseme sisi kuliko Magazeti ya Shigongo !
hahahaha uyauze alafu?