Wema Sepetu Hajapendeza hata Kidogo

Wema Sepetu Hajapendeza hata Kidogo

hajakatazwa kufanya yake na kwanza maneno ya watu si sheria ila tunachokisema hadhi ya hilo tangazo imeshushwa na muonekano mbaya wa wema. HAJAPENDEZA!

Haters gonna hate...ila ndo hivyo alishatangaza na hela zake anapata whether apendeze au lah
 
ni bahati mbaya sana hata vilaza wanapata fursa ya kujadili ndan ya nyumba hii ya great thinkers. habari za kunya tikiti zimetokea wapi?

Yes ukanye tikiti na haters wenzako. Ndio hivyo bahati ilishamuangukia baki tu ukiungulika moyoni. Kama mie kilaza wewe ni kiamshi...
 
Yes ukanye tikiti na haters wenzako. Ndio hivyo bahati ilishamuangukia baki tu ukiungulika moyoni. Kama mie kilaza wewe ni kiamshi...

Hahhhaaaas hapa Angaliaa maana najua wampenda Wemaa ila yule mwinginee nooooo
 
Hamjui ukifanya PROFESSIONAL PHOTO SHOOT kama hilo tangazo kila kitu kinaamuliwa na PROFESSIONALS.? Wema hapo hakuwa na say! Hilo labda mumlaumu costume designer au make up artist kama alichagua hio look,! Kiroho safi lakini!

Proffesional wapi wakati tuna IQ ndogo sana sisi wa tz
 
Hiyo avatar inanifanya nitafakari juu ya mashamba ya urithi, sijui niyauze tu!!!


Wewe jamaa angalia unaweza kuta ni dume
Kumbuka yalio tokea hum jf ya giLesi aliye jaaliwa
 
Hahahaha wewe siku hizi umekalia kwa wapi?? mbona leo ulikuwa kimya wakati wa vita ni vita mura??


Wali hack PC yangu ! Hapa nnavyo ongea nime loose Data kibao sana !

Naona mawenge mawenge tu !
 
heheeee mlio kuja kusindikiza watu duniaaani wivuuuuu kibao mtabakiii hivyo hivyo hadi mnakufa watu na bahati zao dunian
 
Kuna tangazo moja la kihuni huni hivi linamuonyesha Wema sepetu akiwa amechakaa uso vibaya mno.., yaani kama bibi kizee flani.., hivi anabwia sembe au ni nini hiki..., isije ikawa mtanashati anampa stress..!! JIONEE
 
Back
Top Bottom