Wema Sepetu Hajapendeza hata Kidogo

Wema Sepetu Hajapendeza hata Kidogo

AIRTEL+BURE.jpg
 
Ila wema ana shape nzuri siku hizi
 
Dougiemasta13 na jeshi lao wangekuja humu toka headquater yao instagram sever zingezidiwa?,! Ufalme wa madam si wa dunia hii ya jf, insta ni untouchable!
 
Haters gonna hate...ila ndo hivyo alishatangaza na hela zake anapata whether apendeze au lah

hatuzungumzii kupata au kutokupata pesa kwake ila kinachoonekana hapo ni kwamba bi dada hana mvuto ukilinganisha na picha nyingine nying alizowah kupiga. usibadilishe mada tafadhali
 
Yes ukanye tikiti na haters wenzako. Ndio hivyo bahati ilishamuangukia baki tu ukiungulika moyoni. Kama mie kilaza wewe ni kiamshi...

utumbo unapotumika kufikiri hupelekea mtu kuwa na majibu kama hayo yako. unazungumzia bahati? kwa bahati gani aliyo nayo? Hivi Unawajua wenye bahati wewe? Kama kupata pesa kwa njia ya ufuska ni bahati, yes Wema ana bahati.
 
mi nlipoliona hilo tangazo kwa mara ya kwnza nlidhani majicho yang ndo hayaoni vzuri kumbe wakuu na nyie mmeona kama hajapendeza ee! kiukweli kachekesha yan hilo wigi ni ki2ko ukija blauz duu! hzo shanga cjui ndo cheni mie HOI! yan bora hta joti anapendeza sana kwnye matangazo kuliko mama ubaya..!
 
Pia inawezekana ni markwting trick tu ya airtel, kuwaprovoke muongee sanaaa na kushare tangazo owa wingi, hukunmnaponda huku mnapata na kusambaza ujumbe! Inaitwa KANTANGAZEEEEEEEEE,!

Ahahaha duh umewaza mbali
Kweli kabisa kantangaze....
 
utumbo unapotumika kufikiri hupelekea mtu kuwa na majibu kama hayo yako. unazungumzia bahati? kwa bahati gani aliyo nayo? Hivi Unawajua wenye bahati wewe? Kama kupata pesa kwa njia ya ufuska ni bahati, yes Wema ana bahati.

Du aya bana kajala tumekuskia
 
kila mara nikiona hilo tangazo...........akilini inawaza
big mommas....she is 5 mins to big momma oclock.
biggg.png
 
Back
Top Bottom