Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanafiki.commnafiki wewe
Haters gonna hate...ila ndo hivyo alishatangaza na hela zake anapata whether apendeze au lah
Yes ukanye tikiti na haters wenzako. Ndio hivyo bahati ilishamuangukia baki tu ukiungulika moyoni. Kama mie kilaza wewe ni kiamshi...
nadhani lengo lao halikuwa kutengeza tangazo la ki-komedi ila bahati mbaya imekuwa hivyo. hilo ndilo tatizo
Pia inawezekana ni markwting trick tu ya airtel, kuwaprovoke muongee sanaaa na kushare tangazo owa wingi, hukunmnaponda huku mnapata na kusambaza ujumbe! Inaitwa KANTANGAZEEEEEEEEE,!
utumbo unapotumika kufikiri hupelekea mtu kuwa na majibu kama hayo yako. unazungumzia bahati? kwa bahati gani aliyo nayo? Hivi Unawajua wenye bahati wewe? Kama kupata pesa kwa njia ya ufuska ni bahati, yes Wema ana bahati.