Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,010
- 4,083
Harmorapa kwa kutembea na matukio hajambo, sitashangaa nkiskia leo kaenda nyumbani kwa Roma kumpa pole mke wake. Na kama kiki zake zingekua zishaanza kipindi cha sakata la faru john nna uhakika harmorapa angefika mpaka mbugani kuwapa pole faru wengine kwa kumpoteza johnHArmorapa jana alienda nyumbani kwa Kitila Mkumbo kumpa pongezi ya kuteuliwa!
Harmorapa kwa sasa anasikika kuliko hata Harmonize