Wema Sepetu: Harmorapa unikome

Wema Sepetu: Harmorapa unikome

Si ampe tu?mbona mondi alipewa.tena kipindi ambacho domo lake lilikuwa kubwa kama bangala.mi sioni tatizo.yaani kwagawia mastaa wote afu anataka kumbania rapperbolt?this is not fair sepenga.we mpe tu aenjoy huo msambwanda.
Hhahaha,dah nipo knockwenye msiba,baada ya kuona hii coment bimecheka sana aisee,dah
 
kwanini mnamchukia mtu ambae anatajitaftia riziki yake kihalali,mlitaka aje kula Kwenu..sio fair badiliken dogo ameamua kujitaftia riziki kwa njia hiyo..kwanini mumchukie
Hata nasibu alivyoanza walikuwa hawampendi, sa hivi ndio wanaompigia vigelegele, mkuu usishangae, baadhi ya watanzania ni viumbe wa ajabu sana!
 
Mwanaume ni mwanaume tu hata aweje pochi ikituna tu atalambwa kila sehemu,wema aache dharau hajui kesho ataulilia muhogo wa nani
 
Kijana anataka apewe mambozzz hatar! Madam mpe bwana mdogo anachotaka nae afurahie maisha japo kwa siku mbili tu ili na yeye ajisikie yupo duniani! Mimi nakuhakikishia hataondoka nayo! Na akiondoka nayo Mimi nitamchukulia hatua za kinidhamu kwa kuondoka na naniliu ya madam.
 
hahahaha na alichotaka Harmorrapa ndio hiki...
Hata hivyo Wema ana nini kipya? sema tuu Harmo hana hela angekuwa nazo Wema asingelisema hivi...
 
Safi sana madame wasikuzoee wewe kwa sasa ni kamanda yaliyopita si ndwele tugange yanayokuja viva wema sepetu
 
Hamokiki a.k.a kichefuchefu. AnAkera sana huyu dogo. Hana tofauti na mvua za dar, mara mvua mara jua
 
kwanini mnamchukia mtu ambae anatajitaftia riziki yake kihalali,mlitaka aje kula Kwenu..sio fair badiliken dogo ameamua kujitaftia riziki kwa njia hiyo..kwanini mumchukie
kabisa yaani unamuita binadamu mwenzio majina ya wanyama..mhhh kama sio wivu nini
 
Back
Top Bottom