Wema Sepetu: Harmorapa unikome

Wema Sepetu: Harmorapa unikome

Wema ana maana Hamorapa aende inbox [emoji39][emoji23][emoji23][emoji23] winning him at his own game asante wema
 
Hamorapa angalia usije sema Kyln mrs Machache pia anakutaka au unamtaka
 
Kweli ukiwa huna pesa ni shida harmorapa kaonekana mdogo wake kwani daimond hakuwa mdogo wake
 
Madam Wema Sepetu toka ahamie CHADEMA anajiheshimu sana. Bravo madam
 
Ingekuwa Harmorrapa ana mshiko Wema hayo maneno sidhani kama yangemtoka.
Ebu atupishe.
Harmokiki kaamua kutumia fursa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Si ampe tu?mbona mondi alipewa.tena kipindi ambacho domo lake lilikuwa kubwa kama bangala.mi sioni tatizo.yaani kwagawia mastaa wote afu anataka kumbania rapperbolt?this is not fair sepenga.we mpe tu aenjoy huo msambwanda.
Mpe wewe basi kama imekuuma.
 
Hapo kiki ya huyo nyani hamorapa imekubali

Wema wala asingemjibu,kumjibu huyo nyani ni kumpa kiki tu.
 
Aliyowalea inatosha [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sasa hivi amehamia kwa watu wazima wa chadomo wamlee kisiasa [emoji23][emoji23][emoji23]

6882cdeee5db28b9156e9ab762cd0489.jpg
 
Hamorapa kashafanikiwa kupata kiki.hata kuandikwa tuu kwenye ukurasa wa wema ni kiki tosha.

kiboko ya mabishoo oyee.
 
Yani ni kama wema anasema, wewe underground utanipa nini, nimeshatembea na wanaume wengi tena na pesa zao hawakunipa chochote sembuse wewe usie na kitu, bora kwa sasa nitembee na wazee vijana mnanitumia tu halafu munanizulumu,
 
Back
Top Bottom