Wema Sepetu: Harmorapa unikome

Wema Sepetu: Harmorapa unikome

Madame we si wa pesaa mbelee au huyo dogo ana mawe mkubalie tuuuu jameni
 
inaelekea awa wa akina nangu nangu nao ni kama wakule KOLOMOJE eeh" maana nangu nangu mwenzie (harminize) alipopata kajina kidogo tu akajikita kwa Wolper, sasa leo hii uyu dogo nae kapata laki tatu zake za Korosho nae anamtaka Wema, kwel nimeamin nangu nangu akili zao ni kama za KOLOMIJE
 
Duuuuh dogo kaumbuka
Kama kuna watu mnafikiri hamorapa ana mshipa wa aibu fikiri tena !dogo ana kitu xaidi ya ushamba kwenye akili yake 4-1 inamhusu kiaina muziki ndio uneificha haiba yake haswa!
 
Aje huku kigoma wenzake wapo huku wamejaa telle msituni.
 
Dah harmo anagundu inabidi aogeley mtoo ,kawaida madame nichaote sio mchoyo ;
 
Madame kakua siku hizi buana
Sure... si unaona maneno aaliyotumia: "...waambie wengine unaodhani mnawezana lakini sio mimi!" Hiyo ni namna ya kiungwana ya kumwambia "...you're not my type!" Kauli ambayo ni embarrassing kwa kiasi fulani....
 
Back
Top Bottom