Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati huo ndo inatangazwa kwamba anakuja na Air Tanzania (Bombardier) akitokea South Africa, watajifanya wapo kizalendo zaidisubiri isikike Harmorapa kashinda mabilioni kadhaa kama hatujamuona huyo Madam anavyojibebisha kwa Harmorapa. Anajua Harmorapa kapuku ndo maana anasema hivyo.
dah how come eeeeeeeeh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si ampe tu?mbona mondi alipewa.tena kipindi ambacho domo lake lilikuwa kubwa kama bangala.mi sioni tatizo.yaani kwagawia mastaa wote afu anataka kumbania rapperbolt?this is not fair sepenga.we mpe tu aenjoy huo msambwanda.
Atafute hela tu au sio misshatari hatari
pesa mchawi wa waremboAtafute hela tu au sio miss
pesa mchawi wa warembo
kabisa yeye atafute pesa atawatafuna werembo wote anao watamaniAkianza kutembelea hummer hawezi kumkosa huyo wema,tena atajileta mwenyewe,kama nzi kwenye kidonda