Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Hahahaha naona kichefuchefu kimetawala humu ndani. jamani mbona mmetapika hivi ndani kote hamna hata pakukanyaga?? vipi ndimu zimewatosha au niongezee na vinegar?? Maumivu yakizidi wahini hospo mpate Tiba msije faint... Matola gawa vinegar ndimu hazitoshi watu wanazidi kuzirai humu.... Mheshimiwa wema sepetu mtoto Wa marehemu balozi sepetu alikuwa na hoja.....hebu waheshimiwa tumsikilize....halooo na kale kasauti sasa!! Yes politics is politics
Shilole akiwa mbunge nuhu mziwanda anakua waziri....Bado Shishi baby na yeye sijui anatupimo lini?CCM hoyeeee
Tetesi hata Irine Uwoya naye atatangaza nia chezea Green.
Jamani mashabiki wa diamond mna roho za kwanini???
Wema mimi sio fan wako ila nakutakia kila la heri!!
Utakuta wengine hamna mbele wala nyuma all you do is just hate!
Wema huwa anafanya mabaya sana, sasa asijaribu kitu kingine?
Why??
Acheni uchawi...
Wewe pia akili zako mbona unachanganya madesa.Muigizaji marufu na x-girlfriend wa Diamond platnumz, Wema Sepetu amechukua fomu ya kugombea ubunge wa viti maalum kupitia CCM.
Akiongea na host wa kipindi cha ala za roho cha clouds fm kilichorushwa hewani tarehe 16 juni 2015 mmiliki huyo wa lebo ya Endless Fame amethibitisha hilo kwa njia ya simu alipohojiwa.
Je, Utitiri huu wa vijana ndani ya ulingo wa siasa utaleta mabadiliko chanya kwa taifa mbeleni au ndio wengi wao wanafuata ulaji kwanza?
Shukran.
Haya yamepostiwa na petitman ambae ni afisa Wa endless fame. Kila la heri wema. Mungu akutangulie ushinde.
Sioni sababu ya kumtukana wema hapa.
Mnakosea sana.
ndio asili yetu. kumbuka singida ni matrilineal ambapo mtoto anakuwa ni wa upande wa mamaNikuulize tu, umechagua kugombea Singida ni kigezo kipi umetumia kuchagua mkoa huo?
Khe! Khe! Khe! Khe! Eti nini? Tuzo ya Diamond ni maslahi ya Taifa!? Can u say that again?
Ile mihela aliyochukuwa Idrisa kwenye yale mashindano ya kifirauni wewe umekatiwa ngapi?
Naomba niulize, Wazanzibar wanaruhusiwa kugombea viti maalum Bara? Sina nia ya ubaguzi lakini hili sioni kama sahihi.
Usipende kupewa pesa mkononi maana pesa inaisha na utabaki huna kitu, kinachodumu ni mbinu na milango ya kupata pesa maana hiyo milango ikifunguka pesa haitakuishia, wala hiyo unayopewa mkononi haitakuwa na thamani kama sawa na milango ikifunguka. Kwa hiyo tunaposema maslahi ya taifa hatusemi maslahi ya kugawana pesa, bali maslahi ya kufungua milango ya upatikanaji pesa kwa watu wengi zaidi. Tunataka fursa na sio kupewa pesa mkononi.
Mzanzibar mnyaturu....Naomba niulize, Wazanzibar wanaruhusiwa kugombea viti maalum Bara? Sina nia ya ubaguzi lakini hili sioni kama sahihi.