its not against the law dear!
Its a matter of choice and personal decision.
Unachoona ni upumbavu kwa mwenzio yeye haoni ivo.
Tujifunze kuheshimu maamuzi ya watu pale tunapoamua kutofautiana.
Peace!
Ukijifunza kuheshimu maamuzi ya watu siku utazaa matoto ya kiume yakitaka kuwa mashoga utasema ni maamzi yake na yaheshimu. Acha izo
Kila mtu anaetaka atuongoze watanzania wenye akili timamu lazima awe kioo na mfano bora ili watoto wetu wawe na role models wazuri
Kusema mtu kama Wema sepetu anaenda Bungeni akawe kiongozi mfano si kweli, hata kizazi kijacho kitaona kumbe hata ukiwa malaya, mhuni unaweza kuwa na badae uka hold best position za nchi.
Nyerere akizungumzia viongozi japo alikuwa akilenga rushwa alisema kiongozi wetu lazima awe msafi.
Mimi nauchukulia usafi hadi namna ya kuishi, sisemi viongozi wengine si wapenda ngono nk, lkn kumpleka bungeni mtu kama wema na skendo na maisha ya kuigiza anayoishi nikulikosea heshima taifa hili, japo ni haki yake ki democrasia maana si mfano wa kuigwa katika mabinti kwa Tanzania hii
Nakumbuka clip ya Birthday yake jinsi mama yake alivotoa matusi ya nguoni, yeye akishangilia, like mother like son atawafunza nini wanetu wanapotazama clip kama zile alafu wanasema ni mh mbunge?
Picha za nusu uchi anazopiga, kutojitambua, maisha ya maigizo anayoishi, umalaya wa hadharani, nk nk vina m disqualify kuwa mbunge au kiongozi.
Mwisho najua ni opportunist anatafuta pesa tu hana jipya. Maana ubunge ni tiketi ya mavuno, kama ubunge ungekuwa mshahara na malipo ni kama ya Ualimu basi huyu na wengi wanaotaka kwenda bungeni leo wasinge pigana vikumbo kwenda dodoma pale
Ila kwakuwa pale kuna mavuno yauda mfupi wema anaishi kwa kuangalia fursa nyepesi anataka aitumie na hii pia
Mwisho ajue atatumika kimwili zaidi ya anavotumika sasa maana huyu kugawa apate kwake ni kawaida, lakn nikumbushe yule mwana siasa wakike wa Arusha aliehama Chadema akaenda CCM akitegemea kutoka aliliwa na hakuingia bungeni mpk leo, aghalab tunamkumbuka tu kwa nyimbo ya Mr Mwanasiasa
Kila la kheri Wema, ila Hufai kuwa kiongozi