huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,520
- 1,462
mbunge gani sio mzalendo
View attachment 262006View attachment 262007
yani davido anajua kutumia fursa kaona watz wanamshobokea kapost bendera ya Tanzania, na watz walivyo wapuuzi pamoja na huyo mbunge wao wema wanashangilia hatujui tunatumiwa na davido kwa maslahi ya nchi yake.
Apige collabo la mwili lolHuyo anamtamani bado Diamond hana njia sasa ya kuondoa uchungu wake rohoni, anatafuta kiki Davido afanye collabo nae pia ajulikane Nigeria.
Hahahahaaaa hiyo kali
Ndilo analotaka sasa kwenda kimataifa
hahaaa she want colaboo
Ha ha ha ha all the best Mheshimiwa wema sepetu, ila angewahi kipindi cha baba nanii angepewa tu make jamaa ana kauli mbiu nzuri " waacheni wanawake wazuri waje kwangu maana u-DC ni wao"
Ha ha ha ha lolhahaaa she want colaboo
Yule hakuna lingine za sisiem kazizoea ana subiria mpya zitakazoingia oktoba, kwa sasa anataka jaribu nje, halafu meneja wake kadinda anaandika eti watu wamuache ni uamuzi wake duh huyo meneja anamjali sana client wake maana anasema upu.pu wote alionao oyeee na mbwa masta anamsifia eti jeshi la mtu mmoja wanafurahia huku anajifanya kuposti picha ya diamond ya kupigiwa kura. Wanatia aibu nchi yetu wanahitaji vibao
Ha ha ha ha lol
Meneja hakuna siku haambiwi "f*ck u" na mheshimiwa mbunge lolYule hakuna lingine za sisiem kazizoea ana subiria mpya zitakazoingia oktoba, kwa sasa anataka jaribu nje, halafu meneja wake kadinda anaandika eti watu wamuache ni uamuzi wake duh huyo meneja anamjali sana client wake maana anasema upu.pu wote alionao oyeee na mbwa masta anamsifia eti jeshi la mtu mmoja wanafurahia huku anajifanya kuposti picha ya diamond ya kupigiwa kura. Wanatia aibu nchi yetu wanahitaji vibao
Meneja hakuna siku haambiwi "f*ck u" na mheshimiwa mbunge lol
kama Amina aliweza,vicky nae kaweza basi si ajabu na yeye kuingia mjengoni.
Naona bungeni pamekua Lodge sasa....
Jamani naomba uchaguzi huu tupinge kuwepo kwa hawa wabunge wa viti maalum.nawaombeni sana.hatuoni faida yao kabisa!hlf naona wengi waliojazwa pale wengi ni wanawake na wadada warembo tu manake nn?
Miss u too Valley.. Usione kimya kuna vitu vitu tu ila I will be back there soon !