Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Eti mheshimiwa kajenga vyoo vya shule, kapeleka na madawati huko singida....kuna mpiga kura akasema kung'oa tu jino anaonesha ndo vyoo ajenge na madawati apeleke kimya? Ha ha ha Dinazarde maoni yako....hahaaaaaaa shidaaa
Anasema amesoma "international relation" sijui ni topic mpya form four mi sijaelewaU superstar mavi tu.
Ana elimu na maarifa gan yatakayo ni convince ni m support ??
Mtu O Level alipiga miswaki yote (nani asiyemjua huyu) ndio leo unaniambia aje kuongoza ??
Anasema amesoma "international relation" sijui ni topic mpya form four mi sijaelewa
Eti mheshimiwa kajenga vyoo vya shule, kapeleka na madawati huko singida....kuna mpiga kura akasema kung'oa tu jino anaonesha ndo vyoo ajenge na madawati apeleke kimya? Ha ha ha Dinazarde maoni yako....
Yani nmecheka, kung'oa jino tu tunaoneshwa tena tangu akiwa njiani anaenda hospitali anatupia kideo kweli akajenge vyoo kimya no no ni nmekataa #kirohombayahahaaaa never iyo kitu eti ajenge vyoo afu asisemee hapana kwakweli mama ubaya huyu huyu tunaemjua sisi
Kwenye page yake Instagram aliandika baba ake alimsihi aingie kwenye siasa, hakua interested hivo hakusoma political science badala yake akasoma international relation....hata mie ndo kwa mara ya kwanza kusikia najua mheshimiwa ni form four tena failure :sleepy:Amesoma shule moja na madogo wangu at Academic...kala miswaki yote form 4 (British Curriculum) that was a few months after winning Ms. TZ.
Akaenda malaysia for foundation nd stuff since then no one knows if she got any qualification. International Relation ndio nasikia kwako. Amshukuru sana The Great kumuingiza in tha game. Alaf leo ndio anataka kuongoza ?? #Nonsense .
Kwenye page yake Instagram aliandika baba ake alimsihi aingie kwenye siasa, hakua interested hivo hakusoma political science badala yake akasoma international relation....hata mie ndo kwa mara ya kwanza kusikia najua mheshimiwa ni form four tena failure :sleepy:
Eti mheshimiwa kajenga vyoo vya shule, kapeleka na madawati huko singida....kuna mpiga kura akasema kung'oa tu jino anaonesha ndo vyoo ajenge na madawati apeleke kimya? Ha ha ha Dinazarde maoni yako....
hahaaaaaaa shidaaa
mbunge gani sio mzalendo
View attachment 262006View attachment 262007
yani davido anajua kutumia fursa kaona watz wanamshobokea kapost bendera ya Tanzania, na watz walivyo wapuuzi pamoja na huyo mbunge wao wema wanashangilia hatujui tunatumiwa na davido kwa maslahi ya nchi yake.
Yani nmecheka, kung'oa jino tu tunaoneshwa tena tangu akiwa njiani anaenda hospitali anatupia kideo kweli akajenge vyoo kimya no no ni nmekataa #kirohombaya
Kolabo labda afanye na petit au kadindwaaa
hahahaaaaa anataka akafanye na wabunge saivi
Mheshimiwa angetafuta tu nafasi ya uongozi ndani ya bongo movie tu, au uongozi wa Instagramhahahaaaah... akimpeleka mamaake hospitali tu tunaoneshwa sembuse kupeleka msaada singida,,, wakamdanganye beberuuu
Huyo huwa hajielewi istoshe wabaya wake wataanza kumchafua mda c mrefu....hko sofa maalum kuna ubabe,fitna,majungu,ushirikina so akipita yeye chiboko
Mheshimiwa angetafuta tu nafasi ya uongozi ndani ya bongo movie tu, au uongozi wa Instagram
yaani ntashangaa Sana akipita lazma kutakuwa kuna mkono wa shetani sio kirahisi ivo..
Mheshimiwa angetafuta tu nafasi ya uongozi ndani ya bongo movie tu, au uongozi wa Instagram
Huko haitaji kugombea kabisa make hana mpinzaniteheeee kwa Instagram easy ata uraisi atapata