Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

U superstar mavi tu.
Ana elimu na maarifa gan yatakayo ni convince ni m support ??

Mtu O Level alipiga miswaki yote (nani asiyemjua huyu) ndio leo unaniambia aje kuongoza ??
Anasema amesoma "international relation" sijui ni topic mpya form four mi sijaelewa
 
Amesoma shule moja na madogo wangu at Academic...kala miswaki yote form 4 (British Curriculum) that was a few months after winning Ms. TZ.
Akaenda malaysia for foundation nd stuff since then no one knows if she got any qualification. International Relation ndio nasikia kwako. Amshukuru sana The Great kumuingiza in tha game. Alaf leo ndio anataka kuongoza ?? #Nonsense .
 
Eti mheshimiwa kajenga vyoo vya shule, kapeleka na madawati huko singida....kuna mpiga kura akasema kung'oa tu jino anaonesha ndo vyoo ajenge na madawati apeleke kimya? Ha ha ha Dinazarde maoni yako....

hahaaaa never iyo kitu eti ajenge vyoo afu asisemee hapana kwakweli mama ubaya huyu huyu tunaemjua sisi
 
Yani nmecheka, kung'oa jino tu tunaoneshwa tena tangu akiwa njiani anaenda hospitali anatupia kideo kweli akajenge vyoo kimya no no ni nmekataa #kirohombaya
 
Amesoma shule moja na madogo wangu at Academic...kala miswaki yote form 4 (British Curriculum) that was a few months after winning Ms. TZ.
Akaenda malaysia for foundation nd stuff since then no one knows if she got any qualification. International Relation ndio nasikia kwako. Amshukuru sana The Great kumuingiza in tha game. Alaf leo ndio anataka kuongoza ?? #Nonsense .
Kwenye page yake Instagram aliandika baba ake alimsihi aingie kwenye siasa, hakua interested hivo hakusoma political science badala yake akasoma international relation....hata mie ndo kwa mara ya kwanza kusikia najua mheshimiwa ni form four tena failure :sleepy:
 
Mdomo nyumba ya maneno. Tehe
 
Akikosa ubunge kwa roho yake mbaya huyu sikuhyo itabidi nile kuku mzima yani nitafurah sanaaa. Nimetokea kumhate sana na campaign zake dhidi ya X wake sh cnt let t go"
 
Eti mheshimiwa kajenga vyoo vya shule, kapeleka na madawati huko singida....kuna mpiga kura akasema kung'oa tu jino anaonesha ndo vyoo ajenge na madawati apeleke kimya? Ha ha ha Dinazarde maoni yako....

mbwa Tu wakipelekwa hospital tunaoneshwaa,sembuse madawati na kujenga vyooo tusisikie ndio tusikie Leo hhahhaahahjajahhah
 
Huyo huwa hajielewi istoshe wabaya wake wataanza kumchafua mda c mrefu....hko sofa maalum kuna ubabe,fitna,majungu,ushirikina so akipita yeye chiboko

yaani ntashangaa Sana akipita lazma kutakuwa kuna mkono wa shetani sio kirahisi ivo..
 
Back
Top Bottom