Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Eti mheshimiwa kajenga vyoo vya shule, kapeleka na madawati huko singida....kuna mpiga kura akasema kung'oa tu jino anaonesha ndo vyoo ajenge na madawati apeleke kimya? Ha ha ha Dinazarde maoni yako....hahaaaaaaa shidaaa