Wema Sepetu kuzindua filamu yake leo kwenye birthday yake

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Mrembo kutoka kiwanda Cha bongo movies Wema Sepetu maarufu kama Tanzania sweetheart Leo anatimiza miaka 28 huku akizindua filamu yake mpya iitwayo D.O.D aliyomshirikisha msanii maarufu kutoka Ghana Van vicker pale mlimani city
Filamu hiyo ilighairishwa kuzindua Mara kadhaa kutokana na sababu mbalimbali, hatimaye muda umefika
Screenshot_2017-08-26-23-50-48-1.jpg
 
Mrembo kutoka kiwanda Cha bongo movies Wema Sepetu maarufu kama Tanzania sweetheart Leo anatimiza miaka 28 huku akizindua filamu yake mpya iitwayo D.O.D aliyomshirikisha msanii maarufu kutoka Ghana Van vicker pale mlimani city
Filamu hiyo ilighairishwa kuzindua Mara kadhaa kutokana na sababu mbalimbali, hatimaye muda umefikaView attachment 880204
Sijawahi kuelewa kwanini wanawake wanapiga hizi makeup mtu anakuwa kama andazi lilitolewa kwenye mafuta
 
Mrembo kutoka kiwanda Cha bongo movies Wema Sepetu maarufu kama Tanzania sweetheart Leo anatimiza miaka 28 huku akizindua filamu yake mpya iitwayo D.O.D aliyomshirikisha msanii maarufu kutoka Ghana Van vicker pale mlimani city
Filamu hiyo ilighairishwa kuzindua Mara kadhaa kutokana na sababu mbalimbali, hatimaye muda umefikaView attachment 880204
Sawa ndio natoka kuchukua ticket
 
Huyo bibi ana miaka 37+ asitake kudanganya watu labda akadanganye nanjilinji huko.
 
Wema bado mdogo jaman Ndo Kwanzaa ana miaka 20 bwahahahahahah
 
Back
Top Bottom