Nawasiwasi kuwa wewe ni mhitimu wa kidato cha4 Shule ya sekondari Kitonga/ kideteHana ujasiri huo mkuu, trust me hii kitu imekaa kisiasa sana,
Hv issue ya kiserikali tena katika kesi ya madai unaweza kumuita mtu kwa jina la mtaani? etii TID aje kituoni akikataa hilo si jina lake watamfanyaje?
issue sensitive kama hii imeshasambaa nchi nzima je wahusika wakisepa leo usiku tutajua kuwa kesho watahitajika polisi???
Hiyo list angetajwa mtu mmoja hiv misifa umu ndani pangewaka moto ana bahati yakr
Tanzagiza kama itaendelea kuwa na watu kama wwWatanzania wengi watasherehekea habari kama hii,lakini kwa ukweli dhana ni kitu kibaya sana,kama mtu hajakamtwa na ushahidi wa kufanya hayo mambo ya madawa ya kulevya basi ni kosa kumtaja jina lake ,huu ni udhalilishaji wa haki ya mtu..
Nafikiri nchi yetu ina vyombo vinavyohusika na makosa kama haya,kwanini mkuu wa mkoa haachii hizo mamlaka zikafanya kazi yake...,Tanzania yunakwenda wapi,kama polisi wanaushahidi kwanini hawawakamati hao wahusika na kuwapeleka mahakamni...
Tutajuaje kuwa rais wa dsm karudi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanacheza tu na akili za waTz.
Ina maana hao maaskali wameshindwa kuwataja watu wanaowasaidia?? Ina maana intel imeshindwa kutuletea mapapa ina leta hawa kajamba nani??
Hizi ni kiki zisizokua na tija
Wala hujakosea [emoji122] [emoji122]Nawasiwasi kuwa wewe ni mhitimu wa kidato cha4 Shule ya sekondari Kitonga/ kidete
Haaaa haaa....warumi una vitukoWema anyongwe jamani kazidi
Walikuwa wanajificha nyuma ya ustaaKwani police post hawajui unavyodhani??
Akitupeleka kwa mtu WA nne, mtu huyo WA nne atatupeleka kwa mtu WA 3 naye WA tatu atatupeleka kwa mtu2 chain itaenda hadi kwa boss mwenyewe....!!Unaweza kuta child Benz hamjui mkuu wa mzigo , unakuta yeye ananunua kwa MTU wa 3 au 4
Si ndio ameanza sasa....Halafu madam alisema uu mwaka wake eeeh!.Nawaza tu.
HahahaTID ndio nani?
BABU WA KITAA?
CHIDY BENZ?
MR BLUE?
KWELI HUYU NI MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM,NA SHULE ZAKE!
Kazi ipoWema sepetu anyongwe jamani kaaribu mamilioni ya Watz
Uwe unasikiliza mawingu asee,utajua asee.Tupeni japo video clip au voice clip
haohao wa3 na nne? ndo tunawatakaUnaweza kuta child Benz hamjui mkuu wa mzigo , unakuta yeye ananunua kwa MTU wa 3 au 4
pitia list iyo
hahahahaunamchukiaWema anyongwe jamani kazidi