Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Hana ujasiri huo mkuu, trust me hii kitu imekaa kisiasa sana,
Hv issue ya kiserikali tena katika kesi ya madai unaweza kumuita mtu kwa jina la mtaani? etii TID aje kituoni akikataa hilo si jina lake watamfanyaje?
issue sensitive kama hii imeshasambaa nchi nzima je wahusika wakisepa leo usiku tutajua kuwa kesho watahitajika polisi???
Nawasiwasi kuwa wewe ni mhitimu wa kidato cha4 Shule ya sekondari Kitonga/ kidete
 
Watanzania wengi watasherehekea habari kama hii,lakini kwa ukweli dhana ni kitu kibaya sana,kama mtu hajakamtwa na ushahidi wa kufanya hayo mambo ya madawa ya kulevya basi ni kosa kumtaja jina lake ,huu ni udhalilishaji wa haki ya mtu..

Nafikiri nchi yetu ina vyombo vinavyohusika na makosa kama haya,kwanini mkuu wa mkoa haachii hizo mamlaka zikafanya kazi yake...,Tanzania yunakwenda wapi,kama polisi wanaushahidi kwanini hawawakamati hao wahusika na kuwapeleka mahakamni...
Tanzagiza kama itaendelea kuwa na watu kama ww
 
Wanacheza tu na akili za waTz.
Ina maana hao maaskali wameshindwa kuwataja watu wanaowasaidia?? Ina maana intel imeshindwa kutuletea mapapa ina leta hawa kajamba nani??

Hizi ni kiki zisizokua na tija
Tutajuaje kuwa rais wa dsm karudi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
TID ndio nani?
BABU WA KITAA?
CHIDY BENZ?
MR BLUE?

KWELI HUYU NI MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM,NA SHULE ZAKE!
 
Unaweza kuta child Benz hamjui mkuu wa mzigo , unakuta yeye ananunua kwa MTU wa 3 au 4
Akitupeleka kwa mtu WA nne, mtu huyo WA nne atatupeleka kwa mtu WA 3 naye WA tatu atatupeleka kwa mtu2 chain itaenda hadi kwa boss mwenyewe....!!
 
Mwenye majina yote ayaweke maana yameanzia nusu
 
Hii sinema sijaelewa. Polisi wanatambulishwa kwa namba zao sio a.k.a. Utampata nani kwa staili hiyo.
 
Makonda wanyooshe hao wavulana wa dar UKimaiza Waambie na Ma Rc wa MiKoani na wenyewe waamKe Hahahaha.. Bado Nausingizi NgoJa niendeLee
LaLa...
 
0019a94088f2f61f25e129d3af72e7e4.jpg


pitia list iyo
Wema anyongwe jamani kazidi
hahahahaunamchukia
 
Back
Top Bottom