Tembele
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 1,152
- 343
Amewaja Kwa majina? Na kama kweli amewachikilia hatua gani?
Inayochukua hatua ni mahakama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amewaja Kwa majina? Na kama kweli amewachikilia hatua gani?
Kula shavu la uwakili wa watuhumiwa mkuuWatanzania wengi watasherehekea habari kama hii,lakini kwa ukweli dhana ni kitu kibaya sana,kama mtu hajakamtwa na ushahidi wa kufanya hayo mambo ya madawa ya kulevya basi ni kosa kumtaja jina lake ,huu ni udhalilishaji wa haki ya mtu..
Nafikiri nchi yetu ina vyombo vinavyohusika na makosa kama haya,kwanini mkuu wa mkoa haachii hizo mamlaka zikafanya kazi yake...,Tanzania yunakwenda wapi,kama polisi wanaushahidi kwanini hawawakamati hao wahusika na kuwapeleka mahakamni...
Tunapozungumzia "mtandao" wa wauza unga ni "mtandao" wa dunia nzima,maana YULE BOSS MKUU WA HUKO SIJUI U.S AU MEXICO ATAJUA KABISA KWA SASA MTEJA/WATEJA WANGU WA TZ HAWANUNUI UNGA KWANGU KWA VILE KUNA MSAKO MKALI ULIOANZISHWA NA MUHESHIMIWA FULANI,NA WAO HAWAKO TAYARI KUONA MAUZO YAO YAMESHUKA HATA SIKU MOJA NA WAKATI WANAJUA KABISA SABABU YA KUSHUKA NI FULANI,NA KAMA UNAVYOJUA WAUZA UNGA AKILI YAO ILISHAOZA SIKU NYINGI MAANA WANAJESHI HALAFU HALITUMIKI SANA KWAHIYO VITU KAMA HIVI NDIO HUWA SABABU YA KUJARIBIA WANAJESHI WAO.Msipende kutishana bila sababu, walishafanya tukio gani hasa la kutisha?
Mkuu hata sina chama nimeandika tuBavicha
Mkuu dogo Hamidu si ndo Nyandu ToziMr. Blue sizani
yani unamuacha Nyandu Tozy unamkamata Blue?
ndiyoMkuu dogo Hamidu si ndo Nyandu Tozi
Aanze na salaah wa GSM
Maana hata kina wema wanatumwa na huyu jamaa
Ova
Wamefanya nini.?Bavicha
Tehehehe hiyo sentensi ya mwisho naomba niitumie iwe signature, mkuu.?Namkumbusha RC kuwa Mkoa wake Tangu uhuru hii ndio Mara ya kwanza kutokuwemo kwny Top ten ya Matokeo ya kidato cha nne!
Mie hata ukihamisha goli nafunga pale pale sijali goli umelitoa au laa!
Tehehehe hiyo sentensi ya mwisho naomba niitumie iwe signature, mkuu.?