Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wanavyofanya wamarekani vileMbona makonda anapata shida wakati kuwakamata wauza unga ni rahisi sana??
Kwanini asimkamate chid Benz amwambie nani alikuwa anamuuzia unga?..hapo atapata msururu mzima hadi kumfikia boss kabisa!
petimanWema katajwa kama mtumiaji na sio muuzaji naona hapo watu wanachanganya, shughuli wanayo hao wakina petit, romyjons, director joan waliotajwa kama wauzaji.
Hivi hawa watu ambao wanatuhumiwa kila mara na huyu mwanadada waliahawahi hata kuchunguzwa kweli??
Sijajua mkuuHivi hawa watu ambao wanatuhumiwa kila mara na huyu mwanadada waliahawahi hata kuchunguzwa kweli??
Ndiomana nilianza kwa kukili kuwa vita yenyewe sio ndogo,inahitaji nguvu kubwa zikiwemo risk nyingi.pia niliwalenga wasambazaji ambao hawa wamo mitaani kwetu ndio wakuanza nao.lkn kwa hawa wamiliki wa hizi biashara ni ngumu sana kuwatia hatiani kwani wana chain ndefu sana,ndiomana mipaka ya nchi kwanza iimarishwe ili kuzuia yasiingie nchini.Kwani wewe unafikiria wauzaji serekali haiwajui!? Tatizo wananguvu sana, yaani hawakamatiki.
Na kama huamini muulize kikwete.
Yeye alikuwa na list nzima ya wauzaji lakini aliishia kusema tu! Wakamfunga mdomo hata kuiweka hadharani tu iliimshinda"
Hushangai huyu aliewataja kwa nn awataje vidagaa tena kwa majina feki!?
Nafikiri chid tayari yupo kwenye orodha ya wanaoitwa polisi labda kwa kusaidia polisiMbona makonda anapata shida wakati kuwakamata wauza unga ni rahisi sana??
Kwanini asimkamate chid Benz amwambie nani alikuwa anamuuzia unga?..hapo atapata msururu mzima hadi kumfikia boss kabisa!
Hao Hao 3 na 4 watatajwa na wao watawataja 2 na 1Unaweza kuta child Benz hamjui mkuu wa mzigo , unakuta yeye ananunua kwa MTU wa 3 au 4
Kama ni rafiki wa kubeba mikoba ya wema sepetu ambae nae ni muhusika huna sababu ya kushangaa mkuu, mtu anaishi mjini bila kazi ya kueleweka lakini maisha yake super kuliko hata mfanyakazi wa taasisi ya uma kwa nini ushangae kuwa punda?Uyu jamaa nilikua namheshimu asee na kama ni kweli,ntamuona boya!.watu wake wa karibu mwambieni.
Tusimpuuze huyu binti..Sijajua mkuu
ni T.I.D sio lady jaydee, jide hafanyi upuuzi huoKwenye video na lady jay dee katajwa
peti yuko ndni,alikamatwa na madawa,mama ubaya atasalimikaWema katajwa kama mtumiaji na sio muuzaji naona hapo watu wanachanganya, shughuli wanayo hao wakina petit, romyjons, director joan waliotajwa kama wauzaji.
Inakuwaje Clouds FM... na si vyombo vingine vya habari..!?
Wakati Rom nae yupoNazani wcb wapo nyuma ya hii inshu em tuendelee kuona yatakayo jiri
Mkuu saa hizi Mange kule ni usiku amelala ngoja aamke utashangaa jinsi atakavyo msaidia makonda kumuongezea List, na hapo atafuta yale matusi yote ya Makonda itabaki sifa tu.Pale angekuepo majizo kweli ungeona furaha ya mange
Kiaje mkuu? Mbona hao wasanii wote walikuwa kwenye kampeni za chama?Habari hii cyo nzuri kwa bavicha