swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,628
Alisema kaachaHili niliwaza sana mkuu,wangewakusanya wavutaji wangesema akiwemo Q Chillah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisema kaachaHili niliwaza sana mkuu,wangewakusanya wavutaji wangesema akiwemo Q Chillah
Ndio yeye.. Mwana FA nae akamatwe kuna wimbo alimtaja shikuba (Hustle kama shikuba)na sasa salaah connect dots... Pia AY .Diamond .dimpozHuyu salaah ndo alietajwa na FA kwenye ile dume suruali.
Wabongo ni ma.vi asikwambie mtu kama huamini ww kosea ndio utawajuaWabongo washavamia page ya petii wanamshushia kichmbo,Wengine wanamwambia rest in peace,aaaah dah wabongo noma
Hawana nguvu hiyo...Amina maradhi na hata mume wakeDaaaaa namuona makonda yuleeeee anaenda kumsabahi amina wa chifupaaa....vita nzuri ila hata marekani kashindwa kaamua kujenga ukuta...
Makonda ni kiongozi jasiri sana.....Mungu amlinde sidhani hapa tz kama kuna kiongozi jasiri kumzidi huyu kijanaMwigulu pamoja na kutembea na bendera ya taifa ameshindwa kuonesha uzalendo wake katika kupambana na hili janga..angalau hata Makonda ameweza kutaja badhi!
Kweli uzalendo sio kutembea na bendera!
Kinje ndio alikuwa mhusikaHivi hawa mawingu wenyewe si ndio waliokuwa wanawabebesha mzigo kina Mangwea ?
Hustle kama Ally Shikuba napita kila kiwanja. "Msiache kuongea"Ndio yeye.. Mwana FA nae akamatwe kuna wimbo alimtaja shikuba (Hustle kama shikuba)na sasa salaah connect dots... Pia AY .Diamond .dimpoz
Hawa akina akasha na Vicky goswami ukiwafuatilia vizuri kunanuhusiano na yule Rummy shoo alivyoshikwa Kenya. Na toka kina akasha wapate kukamatwa na kuwa under radar. Rummy nae akaanza kufulia kwa kasi sana.
Rom yupoMbona WCB hawamo au unamahaba nao
Huwa hawataji wahusika,sijui wanakula viapo vya aina gani..!!Mbona makonda anapata shida wakati kuwakamata wauza unga ni rahisi sana??
Kwanini asimkamate chid Benz amwambie nani alikuwa anamuuzia unga?..hapo atapata msururu mzima hadi kumfikia boss kabisa!
Muheshimiwa kaokokaItakuwa kanyimwa mzigo na Madam
Una roho ngumuWema anyongwe jamani kazidi
Umemkumbuka JK au Amina Chifupa?Basi hapa nakumbuka mwaka 2006 cjuh mnajua nakumbuka nn wanajamii??????
Hivi utajuaje kama makonda karudi toka USA bila gia ya media + clouds..Inaeza kua kiki eti,ngoja tuone!.