Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamemaliza kuwatumia sasa hawana shida nao, daah! bora hata Monalisa hanaga muda na kampeni ya chama chochote.
Eehh...[emoji30][emoji30][emoji30]. Mjombaa unauwakika nao huyo MTU uliemtaja???Aanze na salaah wa GSM
Maana hata kina wema wanatumwa na huyu jamaa
Ova
Sasa redio ya taifa si hamsikilizi tufanyeje sasaivi clouds fm ndo radio ya taifa siku izi
Nakumbuka alitokea kama huyu huyu........... Kilichotokea hakuna ajuaeBasi hapa nakumbuka mwaka 2006 cjuh mnajua nakumbuka nn wanajamii??????
Ivi na wewe unawazaga vitu kama ivo??duuh! hii naona inaweza ikamharibia Wema Sepetu kisiasa kwa kutiania yake ya kugombea ubunge jimbo la singida mashariki 2020, na kumuangusha Tundu Lissu
Hao watamfanya nini Mh Makonda zaidi ya kumbilia Msumbiji na SANimekaa natafakari UHAI wa "lais wa dalesalama" ulivyo mashakani kwa hiki kitu alichoamua kudili nacho.
Mbona WCB hawamo au unamahaba naoMbona Rizimoko, Young Dee, Idd Azan, Ray C, Jux, Vanessa Mdee, Tunda hawapo kwenye hiyo list?
Bangi nayo ni dawa la kulevya ...labda hii ndio imemtia nyavuniMr. Blue sizani
yani unamuacha Nyandu Tozy unamkamata Blue?