Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Kula shavu la uwakili wa watuhumiwa mkuu
 
Na Mr. BLUE nae yumo? Duh..Sasa akaimbie Mboga saba Segerea.

Makonda hataki Ujinga, Vijana hawafanyi kazi wao ni mashauzi tu mjini kumbe wanauza unga!

Safi sana Makonda!
 
Utashangaa wanashinda kesi kiulaini na kurudi mtaani kama kawaida. Business as usual! Time will tell
 
Wema katajwa kama mtumiaji na sio muuzaji naona hapo watu wanachanganya, shughuli wanayo hao wakina petit, romyjons, director joan waliotajwa kama wauzaji.
 
Hii hatua ya Makonda ni nzuri hapo tunaweza kuanza safari ya kukomesha madawa ya Kilevy
 
Msipende kutishana bila sababu, walishafanya tukio gani hasa la kutisha?
Tunapozungumzia "mtandao" wa wauza unga ni "mtandao" wa dunia nzima,maana YULE BOSS MKUU WA HUKO SIJUI U.S AU MEXICO ATAJUA KABISA KWA SASA MTEJA/WATEJA WANGU WA TZ HAWANUNUI UNGA KWANGU KWA VILE KUNA MSAKO MKALI ULIOANZISHWA NA MUHESHIMIWA FULANI,NA WAO HAWAKO TAYARI KUONA MAUZO YAO YAMESHUKA HATA SIKU MOJA NA WAKATI WANAJUA KABISA SABABU YA KUSHUKA NI FULANI,NA KAMA UNAVYOJUA WAUZA UNGA AKILI YAO ILISHAOZA SIKU NYINGI MAANA WANAJESHI HALAFU HALITUMIKI SANA KWAHIYO VITU KAMA HIVI NDIO HUWA SABABU YA KUJARIBIA WANAJESHI WAO.
 
Duh nadhan watakanusha tena! Je Wema ni mtumiaji au muuzaji au dalali?
 
Namkumbusha RC kuwa Mkoa wake Tangu uhuru hii ndio Mara ya kwanza kutokuwemo kwny Top ten ya Matokeo ya kidato cha nne!

Mie hata ukihamisha goli nafunga pale pale sijali goli umelitoa au laa!
Tehehehe hiyo sentensi ya mwisho naomba niitumie iwe signature, mkuu.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…