Marry me please! the same thinkingNatamani Makonda awe mkuu wa mikoa yote ya tz.
Watu wana mabifu Yao (sikumaanisha wewe).Sina interest yoyote in this saga ila tu kinacho nistaajabisha ni jinsi watu wanavyokuza watu kiasi kwamba kila baya linalowakuta wanahisi ni njama za kumshusha yeye.
Ina maana hata hao askari 9 wametolewa mbuzi wa kafara ila target alikuwa yeye?
Ni vile tu "hatuko" tayari kupambana na biashara ya unga..Naam hii ni asubuhi, kama mambo yakiendelea kuna watu walikuwa wakiabudiwa kwamba wana mafanikio makubwa sana asije shangaa nao wamo na wanahusika na hii haramu
Ni kweli kabisa. Unakuta mtu anafanya matumizi ya kufuru, halafu ana raslimali zisizohesabika. Ukiangalia mikataba yake ya kazi hailingani na pato lake halali. Hilo nalo ni dodoso la kufanyia kaziNi vile tu "hatuko" tayari kupambana na biashara ya unga..
Hawa wasanii wanaofanya safari mara kwa mara za kwenda kutumbuiza nje ya nchi na kurudi walitakiwa wawe wanaangaliwa kupita maelezo.. Ni katika kujiridhisha tu kama wako salama!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Safi.
Hapo Bado kudakwa Dimond na genge lake.
Kidogo kidogo tutaheshimiana hapa mjini.
Umelogwa hatuhitaji kirazaNatamani Makonda awe mkuu wa mikoa yote ya tz.
Wanyamaaaaaaaa hahahaha!! KINOMnyama TID
Makonda anataka umaarufu tu,,, ,ila wacha wakome kuishabikia ccmHivi huyu Wema si ndio alikuwa na kundi la wapigaji kwenye kampeni za Magufuli wakijiita Mama sema na mwanao?
Kama tuko serious na vita hii majina ya mapapa wote anayo JK.
kaona bongo fleva hailipi na antka kuishi kistaa, mi nasubir zari na mondRachel[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Na ww umo lakin tu hauvum
Kuelekea msimu wa Valentine Day nimeona videos clouds tv Ray C anafanya cover nyimbo za Recho amenogesha haswaa,Hivi ni madawa ndio yaliyomtoa recho kwenye muziki au kuna kingine nyuma ya pazia