Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Sina interest yoyote in this saga ila tu kinacho nistaajabisha ni jinsi watu wanavyokuza watu kiasi kwamba kila baya linalowakuta wanahisi ni njama za kumshusha yeye.
Ina maana hata hao askari 9 wametolewa mbuzi wa kafara ila target alikuwa yeye?
Watu wana mabifu Yao (sikumaanisha wewe).

Kwenye maisha kafara ni kitu cha kawaida. Kwa washirikina only the best will do, lakini kwa wengine utatoa ambaye Hana faida kwako au Yule ambaye ni threat. Hapa target sijajua ni nani? Ni Wema au ni hao askari wasiostahili kuitwa Askari

Kwa jinsi nilivyoona action ilivyochukuliwa, wengine washikwe na wengine wapewe warning ambao bila Shaka ndio ma-don wenyewe. Angefanya kuwashtukiza bila hata ku involve polisi ambao Hana Imani nao, pengine ange tumia jeshi. Njia aliyotumia wengi hawatokamatwa.
 
Naam hii ni asubuhi, kama mambo yakiendelea kuna watu walikuwa wakiabudiwa kwamba wana mafanikio makubwa sana asije shangaa nao wamo na wanahusika na hii haramu
Ni vile tu "hatuko" tayari kupambana na biashara ya unga..

Hawa wasanii wanaofanya safari mara kwa mara za kwenda kutumbuiza nje ya nchi na kurudi walitakiwa wawe wanaangaliwa kupita maelezo.. Ni katika kujiridhisha tu kama wako salama!
 
Ni vile tu "hatuko" tayari kupambana na biashara ya unga..

Hawa wasanii wanaofanya safari mara kwa mara za kwenda kutumbuiza nje ya nchi na kurudi walitakiwa wawe wanaangaliwa kupita maelezo.. Ni katika kujiridhisha tu kama wako salama!
Ni kweli kabisa. Unakuta mtu anafanya matumizi ya kufuru, halafu ana raslimali zisizohesabika. Ukiangalia mikataba yake ya kazi hailingani na pato lake halali. Hilo nalo ni dodoso la kufanyia kazi
 
TID ajisalimisha awasili kituo cha polisi
C3ujuXSWAAA0xG7.jpg
 
Hivi ni madawa ndio yaliyomtoa recho kwenye muziki au kuna kingine nyuma ya pazia
Kuelekea msimu wa Valentine Day nimeona videos clouds tv Ray C anafanya cover nyimbo za Recho amenogesha haswaa,

Yani imekua kinyume badala ya Recho kufanya cover za ray c ni ray c ndiyo anafanya cover za Recho.

I'm so happy for Ray C kwa kweli.
 
Back
Top Bottom