Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Unaweza kuta child Benz hamjui mkuu wa mzigo , unakuta yeye ananunua kwa MTU wa 3 au 4
Huo ndio mnyororo tunataka, hata akiwa anapata kwa mtu wa nne, akionyeshwa kazi huyo mtu wa nne atataja mtu wa tatu, akionyeshwa kazi mtu wa tatu atataja mtu wa pili kwa vyovyote vile.. Katika hili lazima ukatili wa hali ya juu utumike kama itakavyohitajika!
 
Mh makonda ni kiongozi mzuri sana, sema hatumpi ushirikiano sijui kwanini!

Na siku tukimpa ushilikihano mzuri na wakutosha tunaweza kumtumia vizuri na tukafikia lengo hasa sisi vijana nguvu kazi ya Taifa na wana Dar es salaam.
 
Mkuu wa mzigo kumpata ni kazi asee,ukute chid anachukulia kwa recho,msambazaji!.ila ao polisi wapigwe lifeban kabisa.Nawaza tu.
Yani iwe anachukulia mzigo kwa mtu hata wa kumi au ishirini,kumpata mkuu wa mzigo bado ni rahisi tu..ni uamuzi tu!
 

Mkuu wa Moa amechelewa kwenye hili, linahitaji utekelezaji wa haraka kunusuru kizazi hiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…