warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
binamu mwili unasisimka aiseeh, nasubiri kauli ya mange,anajifnya anachukia san wauza unga, kwa wema sijui atasemajeDuuuuh mbona sijaipata hii? Hatari yaja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
binamu mwili unasisimka aiseeh, nasubiri kauli ya mange,anajifnya anachukia san wauza unga, kwa wema sijui atasemajeDuuuuh mbona sijaipata hii? Hatari yaja.
binamu mwili unasisimka aiseeh, nasubiri kauli ya mange,anajifnya anachukia san wauza unga, kwa wema sijui atasemaje
Inasemekana hazijathibitishwaHivi byser kumbe ni kweli
aaaah jamani umenivunja mbavu hapa,nachek mpaka naliaHalafu madam alisema uu mwaka wake eeeh!.Nawaza tu.
Na kusikia pia,sio kuona tu.kumbe petii anaitwa NGAHEMELA, Loh mwka huu tutaona mengi, bado jackline wolper,muna love
Si kwenye ile live video yake mkuu,teh teh teh!.aaaah jamani umenivunja mbavu hapa,nachek mpaka nalia
Hatari ipi inayokuja wakati ni kitu kizuri dhidi ya madawa ya kulevyaDuuuuh mbona sijaipata hii? Hatari yaja.
binamu mwili unasisimka aiseeh, nasubiri kauli ya mange,anajifnya anachukia san wauza unga, kwa wema sijui atasemaje
Imetokaa hiyo ila petit man ni ukweli na bila shaa anajidai kumilik wasanii kumbe hela za madawaDuuuuh mbona sijaipata hii? Hatari yaja.
Sijambo mpendwa.Dada yangu mambo?
Hapo duuhhhAanze na salaah wa GSM
Maana hata kina wema wanatumwa na huyu jamaa
Ova
Inakuwaje kaka Meneja asiwe kwenye list? Hajui kazi ya boss wake?!
Huyo si rafiki ake na mkuu wa mkoa halafu?Aanze na salaah wa GSM
Maana hata kina wema wanatumwa na huyu jamaa
Ova
Huyu jamaa anapga hzo dili toka kitamboUyu jamaa nilikua namheshimu asee na kama ni kweli,ntamuona boya!.watu wake wa karibu mwambieni.