Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

hayo majina ya wakubwa yako wapi, mbona mnaishia kusema na wakubwa
 
Aibu kwa clouds media mfanyakazi wao babuu wa kitaa kuhusishwa na biashara hii haramu
 
1486037935958.jpg
 
Madam anakula sembe au anauza sembe sijselewa hapo
 
Nimekaa natafakari UHAI wa "lais wa dalesalama" ulivyo mashakani kwa hiki kitu alichoamua kudili nacho.
Hapo inabidi apatiwe ulinzi wa aina mbili.. Ukitegemea huu wa kuonekana tu, watatumia njia nyingine
 
Back
Top Bottom