Wema Sepetu mwakilishi BBA 2009?

Status
Not open for further replies.

RealTz77

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2009
Posts
738
Reaction score
41
Haya wale waliosema BBA HAKUNA MADEMU tz IMEMPATA Wema sepetu ndie mwakilishi wake katika BBA mwaka huu,haya kazi kwenu,wametupatia balozi tayari!!humo ndani mmhh!!tumpigie kura za ndio!!
 
Haya wale waliosema BBA HAKUNA MADEMU tz IMEMPATA Wema sepetu ndie mwakilishi wake katika BBA mwaka huu,haya kazi kwenu,wametupatia balozi tayari!!humo ndani mmhh!!tumpigie kura za ndio!!
 
tb imepata mapafu 100% ila tuombe mungu ashinde miela ije kwetu.
 
Wema na Kanumba wanashiriki kwenye jumba moja au ni mashindano mawili tofauti?
 
Mbona sielewi? Mi niliskia Kanumba ndo anatuwakilisha. Sasa kame ni Wema + Kanumba I gues jibu ni Red Valentyne, tehe tehe teheeeeeeeeeeeee
 
Nijuacho ni kwamba Kanumba alialikwa tu kuhudhuria uzinduzi na si mshiriki wa BBA.

Ila la Siwema sina hakika nalo; kama ndivyo basi nina wasiwasi tutaaibika kwani nasikia hana hiyana kuugawa uroda..
 
Tumdhaniaye ndiye aweza kuwa siye, sisi kama wadau na wazalendo wa TZ tufatilie na endapo ni kweli mlimbwende wetu huyo anatuwakilisha basi hatuna budi kumpigia kura na kumuunga mkono, pengine yaweza kuwa rizki yake akang'oa hiyo $200,000 na kurudi hewani.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Haya wale waliosema BBA HAKUNA MADEMU tz IMEMPATA Wema sepetu ndie mwakilishi wake katika BBA mwaka huu,haya kazi kwenu,wametupatia balozi tayari!!humo ndani mmhh!!tumpigie kura za ndio!!
Hii ni nyepesinyepesi!

Naona BBA ya mwaka huu haina wasichana, sijui itakuwaje!
 
WEMA???!!. e mungu epusha aibu hii kwa Tanzania
 
Kushinda mara mbili mfululizo na kufanya vizuri mara tatu hakuwezekani hata kama tungechagua mshindani wa ukweli, ila ni wrong selection inatoa nafasi kubwa kushindwa. Dada kachafuka kitambo na bado mnamchagua akawakilishe nchi, hata kama katika mambo machafu basi tungetengeneza celebrity mwingine jamani.

Wema alishapata nafasi ya kutoka kachezea si bora angepewa na mwengine nafasi, mie naona mchongo wa multichoice ili Tanzania itoke mapema na wa TZ walizike!!!
 
Mwakilishi wa Tz ni mwanadada mrembo aitwaye ELIZABETH GUPTA alishiriki kwenye fainali za Miss Tanzania mwaka jana (2008). Huyu ataingia ndani ya BBA next Sunday pamoja na mademu wengine kutoka nchi nyingine za Afrika. Kwa waliofuatilia uzinduzi wa Big Brother Revolution jana Jumapili usiku bila shaka mlimuona Elizabeth akiwa gym lakini mpaka uwe unamfahamu vizuri (kama mimi) ndio ungeweza kumtambua.
 
Last edited:
Asiende na kugawa URODA kama pipi..maana yule mtoto ana mashetani wa hayo mambo
 


Hiyo GUPTA ni mhindi?
 

Du afadhali umetusaidia kuondoa presha!!! Ni aibu tupu kumpeleka binti huyu WEMMA. Anahitaji sana kuwa-rehabilitated!!! Alijiharibia maisha mapema mno!! Sorry for her!!!
 
Wema ana pepo la yale ma vitu yanayochochea Ukimwi!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…