Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni nyepesinyepesi!Haya wale waliosema BBA HAKUNA MADEMU tz IMEMPATA Wema sepetu ndie mwakilishi wake katika BBA mwaka huu,haya kazi kwenu,wametupatia balozi tayari!!humo ndani mmhh!!tumpigie kura za ndio!!
Mwakilishi wa Tz ni mwanadada mrembo aitwaye ELIZABETH GUPTA alishiriki kwenye fainali za Miss Tanzania mwaka jana (2008). Huyu ataingia ndani ya BBA next Sunday pamoja na mademu wengine kutoka nchi nyingine za Afrika. Kwa waliofuatilia uzinduzi wa Big Brother Revolution jana Jumapili usiki bila shaka mlimuona Elizabeth akiwa gym lakini mpaka uwe unamfahamu vizuri (kama mimi) ndio ungeweza kumtambua.