Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Kwani vijana ndiyo wanaruhusiwa kuangalia watu wanaoenda uchi wa nyama, umetukosea sana sisi vijana
Mimi nilivyoelewa alikua anafanya photoshoot ya gazeti(jina sikumbuki) sasa kwenye kipindi kile walikkua wanaonyesha process nzima ilivyokwenda. Ndio nguo na haziku-cover maeneo yote but ndio generation ya kibongo ilivyo hivi sasa.kipindi kinaitwa WEMA SEPETU - UNDER MY SHOES. Wema pamoja na mambo mengine anaonekana akiwa uchi anapiga picha. hata kama uchi wenyewe umefichwa kwa majani, na wakati anatembea maziwa nje picha zinafichwafichwa kwa computer lakini haizuii content kwamba wema anatembea uchi. Baadae anaonekana akiwa amevaa majani nusu uchi. Mpaka sasa sielewi ni elimu gani alikuwa anatoa ama ni makusudi gani alikuwa nayo kwa jamii. Lakini pia EATV wanataka vijana wetu wawe wanatembea uchi? ama watupe c-h-u-p-i na waanze kuvaa majani? Tanzania tumekosa maadili kiasi hiki hadi tunaachia vichaa watuonyeshe njia ya kwenda kweli? MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI TANGANYIKA!
Wewe mtu mzima uanendaje kuangalia hicho kipindi waachie vijana hafu sikuhizi kila mtu anaking'amuzi kwahiyo siyo lazima hiyo channeli iwepo unaweza kuifuta
Siku nyingine usilete katika jukwaa la siasa, peleka jukwaa la burudani.
Mimi nilivyoelewa alikua anafanya photoshoot ya gazeti(jina sikumbuki) sasa kwenye kipindi kile walikkua wanaonyesha process nzima ilivyokwenda. Ndio nguo na haziku-cover maeneo yote but ndio generation ya kibongo ilivyo hivi sasa.
Mbona Channel zipo nyingi mfano Efatha, ATN, Tv Tumaini, Tv imani na zingine nyingi ambazo zinatangaza neno la Mungu tu. Kupo na watu wanapenda kuona hayo mambo tena na wewe ni mmoja wao ndio maana umeangalia mwanzo mwisho. EATV ipo kibiashara na wanafuata maadili ya habari ndio maana walificha baadhi ya viungo. Kama uliangalia bahati mbaya basi usirudie tena.
huyu wema hivi anatoa hela kabisa kutuonyesha sisi huo mwili wake na blabla ambazo mwanzo mwisho hana wazo jipya huwezi angalia hivi vipindi halafu ukapata jipya la maisha
Ni Tanzania na baadhi ya nchi za kiafrika ndio hatuna misingi mizuri ya maadili. Kwa hiyo kumbe wewe unashabikia vijana kuangaliana uchi zao? hivi kuonesha tupu ni ujana ama ujinga? unaposema sio lazima kuangalia ni sawa lakini hata free will zinamipaka. Ndio maana ukienda europe huwezi kuta magazeti ya ngono mahala pa wazi ama picha za utupu hovyohovyo! kweli unashabikia vijana wetu kuwa wapenda ngono?
tatizo wanaotakiwa kukemea ndio wanaopenda mambo hayo unategemea nini?
majina yao tuwawajibishe kunako general election 2015
Ulaya walishaendelea, hakuna wamachinga wanaotandaza vitu barabarani, Kama ni kujilinda mbona wanaonesha channeli za ngono hukohuko Ulaya na kwasasa wanalalamika vijana wadogo teenagers wanaangalia pono kupitia kwenye mitandao? Unalalmika nini wakati nguo mnazileta wenyewe kuwauzia vijana au hata hili unataka kuilaumu serikali? Au unataka serikali ikupangie mavazi ya kuvaa? Sisi tunadumisha mila zetu tulikuwa tunavaa magome ya miti kufunika nyeti sasa leo mnajifanya hamzitaki hizo mila. Nenda kwa wazizabe kule porini uone wanavyoishi, nenda Botwana kwa waswana uwaone. Nadhani umenielewa. Mpingauonevu
Mkuu kweli na wewe umeingia kingi hapa kwenye red?? hiyo ni kazi ya kuizugia public tu bana, kazi yake halisi waulize TISS mbona wanamsitiri tu!mkuu ulichelewa kuja mjini au makusudi?wema ni maarufu toka mwaka 2006 unawezaje kusema mwaka huu 2014 ndio anautafuta huo umaarufu labda useme anataka kuulinda umaarufu wake
kazi yake ni muigizaji na ana kampuni yake ya kuzalisha filamu inaitwa endless fame ameshafanya filamu kadhaa kama superstar na nyingine nyingi pia ameigiza filamu kama lerato, the point of no return na nyingine kibao
kipindi kinaitwa WEMA SEPETU - UNDER MY SHOES. Wema pamoja na mambo mengine anaonekana akiwa uchi anapiga picha. hata kama uchi wenyewe umefichwa kwa majani, na wakati anatembea maziwa nje picha zinafichwafichwa kwa computer lakini haizuii content kwamba wema anatembea uchi. Baadae anaonekana akiwa amevaa majani nusu uchi. Mpaka sasa sielewi ni elimu gani alikuwa anatoa ama ni makusudi gani alikuwa nayo kwa jamii. Lakini pia EATV wanataka vijana wetu wawe wanatembea uchi? ama watupe c-h-u-p-i na waanze kuvaa majani? Tanzania tumekosa maadili kiasi hiki hadi tunaachia vichaa watuonyeshe njia ya kwenda kweli? MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI TANGANYIKA!