ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Nimejaribu kuliangalia Oxford dictionary naona lina maana tofauti na analotaka kulimaanisha mleta thread!Mbichi? Ulimaanisha nini hapo?
Teh teh! eti kufwa for meMwnadafada mbichi kabisa mwenye miaka 27 ,madama Sepetu unga leo kwa kushirikiana na mogul wa media yaani mfalme wa sosho midia bwana le mutuzi malecela leo watafanya suprise ya kufa mtu kwenye b day party ya shostito huyo ambaye kila mwaka hujizawadia magari ya kifahari.
Habari zakichinichini zinadai leo zawadi either itakuwa boti ya kifahari au jumba ambalo inasemekana liko mbezi beach na mastermind wa suprise hiyo ni media mogul mwenyewe aka kufwa for me.
Stay tuned kama hutaki kufwa for me....hahahaha we are humbled you know.
Miaka yake hua inarudishwa nyuma. Sijui kwaninMiaka 28, born 1988
Miaka yake hua inarudishwa nyuma. Sijui kwanin
Inaenda anti clockwise [emoji1] [emoji1]Miaka yake hua inarudishwa nyuma. Sijui kwanin
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli atakua anatumia hiyo system. Maaana khaaaaInaenda anti clockwise [emoji1] [emoji1]
Naskia kabla ya kuzaliwa Yesu (B.C) miaka ilikuwa inahesabiwa kurudi nyuma, atakuwa ana tumia mtindo huo
Mleta thread atakuwa amemaanisha bikra auNimejaribu kuliangalia Oxford dictionary naona lina maana tofauti na analotaka kulimaanisha mleta thread!
Alipokuwa na diamond tulikuwa tunajua yeye ni mkubwa kwa diamond lakini nashangaa kwamba sasa hivi wanalingana miaka. miaka yake haisogei kila mwaka ana 27Miaka yake hua inarudishwa nyuma. Sijui kwanin