ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Mwnadafada mbichi kabisa mwenye miaka 27 ,madam Sepetu unga leo kwa kushirikiana na mogul wa media yaani mfalme wa sosho midia bwana le mutuzi malecela leo watafanya suprise ya kufa mtu kwenye b day party ya shostito huyo ambaye kila mwaka hujizawadia magari ya kifahari.
Habari zakichinichini zinadai leo zawadi either itakuwa boti ya kifahari au jumba ambalo inasemekana liko mbezi beach na mastermind wa suprise hiyo ni media mogul mwenyewe aka kufwa for me.
Stay tuned kama hutaki kufwa for me....hahahaha we are humbled you know.