Wema sepetu na media mogul kufanya mazito leo usiku

Wema sepetu na media mogul kufanya mazito leo usiku

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,012
Mwnadafada mbichi kabisa mwenye miaka 27 ,madam Sepetu unga leo kwa kushirikiana na mogul wa media yaani mfalme wa sosho midia bwana le mutuzi malecela leo watafanya suprise ya kufa mtu kwenye b day party ya shostito huyo ambaye kila mwaka hujizawadia magari ya kifahari.
Habari zakichinichini zinadai leo zawadi either itakuwa boti ya kifahari au jumba ambalo inasemekana liko mbezi beach na mastermind wa suprise hiyo ni media mogul mwenyewe aka kufwa for me.
Stay tuned kama hutaki kufwa for me....hahahaha we are humbled you know.
 
Mwnadafada mbichi kabisa mwenye miaka 27 ,madama Sepetu unga leo kwa kushirikiana na mogul wa media yaani mfalme wa sosho midia bwana le mutuzi malecela leo watafanya suprise ya kufa mtu kwenye b day party ya shostito huyo ambaye kila mwaka hujizawadia magari ya kifahari.
Habari zakichinichini zinadai leo zawadi either itakuwa boti ya kifahari au jumba ambalo inasemekana liko mbezi beach na mastermind wa suprise hiyo ni media mogul mwenyewe aka kufwa for me.
Stay tuned kama hutaki kufwa for me....hahahaha we are humbled you know.
Teh teh! eti kufwa for me
 
au nao wamenunua bombadia q400>next le mutuz??
 
Miaka yake hua inarudishwa nyuma. Sijui kwanin

Kashakuwa bibi kizee😎😎😎, ni vyema kakutana na kibabu mwenzake, le bilioneaz, le akili kubwa😉😵, le mshati tu kufunika vitz🙁🙁
 
Inaenda anti clockwise [emoji1] [emoji1]

Naskia kabla ya kuzaliwa Yesu (B.C) miaka ilikuwa inahesabiwa kurudi nyuma, atakuwa ana tumia mtindo huo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli atakua anatumia hiyo system. Maaana khaaaa
 
Miaka yake hua inarudishwa nyuma. Sijui kwanin
Alipokuwa na diamond tulikuwa tunajua yeye ni mkubwa kwa diamond lakini nashangaa kwamba sasa hivi wanalingana miaka. miaka yake haisogei kila mwaka ana 27
 
Atakachokipata leo kiwe tu ni chake kwa kweli asije kutufanyia alivyotudanganya range!
 
Back
Top Bottom