Wema Sepetu na Whozu mahaba ndindindi

Wema Sepetu na Whozu mahaba ndindindi

Nakadori

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,778
Reaction score
21,010
Msanii wa bongo movie Wema Sepetu na msanii wa bongo flava Whozu wako kwenye mahaba mazito kwa muda sasa.

Hii video hapa chini inawaonesha wawili hao wakisherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Wema kwa mabusu motomoto na inasemekana Whozu alimfanyia ex madame surprise ya maua na keki.

Kweli wakati ukuta. Aliyezoea kupewa surprise za BMW, raaaaaaange na Murano siku za birthday yake sasa anapewa surprise za maua na keki.
 
Jamani ex madame [emoji38][emoji38][emoji38][emoji1]waja mna mambooo ..
Story ilikua ipo mda sema walikua hawajadhihirisha baba na mama manunu tuuu[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]!!!
Tunda na kunta,Wema na Wozuuu
 
Ndo hivyo ni ex madame...
Siku hizi madame ni uwoya

Wema jaman anajishusha kwelii
 
Back
Top Bottom