reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Alioverstay america hukoo,wakamrudisha ndo maana hakanyagi TenaAhamie wapi? Marekani alikichafua, wanasema alitembea na mume wa dada Ake, wakamreport, akawa deported!
Halafu ahame nchi Ili tozo tukatwe peke etu? Tubaki wote hapa hapa.
Ni wa hapa hapa na China