Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Sijui kama kundi la wema litakuacha salama hapa Jamii forum [emoji102]Yeye ndo mshamba kulipiwa kodi, maweaving na madeni, Wema stress za Dai zitamuua aisee kuwa maarufu bila hela ni shida tupu
Hatuna uthibitisho ila kungekuwa na mita ya mwili nadhani ingesoma 999999999999999Dah
Ila ameshatumika sana aiseeee.
Toka 2006??
USA mbele kwa mbele.
Si ajabu utakuta na wewe ni mwanaume!!Aishie zake nae huyu,ndio maana mim nakapenda Kalulu
Sjakuelewa...ntakuta namim mwanaume wakti nilishajikuta....nampenda Lulu hana mambo ya ajabu ajabu...wema kila siku yeye kugomban na wenzio too bad bna!! Mwanke lazma uwe polite,calm ,smiling all the moments and welcoming ,sasa huyu juz kati tu kaachana cjui nani saiv tena eeee ....let it go!Si ajabu utakuta na wewe ni mwanaume!!
Ije tu hyo timu wema ambayo ni useless wana mikosi kuanzia ukuchani had utosini wakiongozwa na mange kimambi. Wakaoge njia panda kutoa mikosi na gundu tena na hamu nao sasa wajeSijui kama kundi la wema litakuacha salama hapa Jamii forum [emoji102]
Nisaidie jambo moja, huyu Muna ni nani maana nimedandia tu namna watu mnavyoflow!! Simfahamu kabisa zaidi ya Shilole basiIje tu hyo timu wema ambayo ni useless wana mikosi kuanzia ukuchani had utosini wakiongozwa na mange kimambi. Wakaoge njia panda kutoa mikosi na gundu tena na hamu nao sasa waje
Huyu muna ni mdada wa mjini mwanzo alikuwaga rafiki na lulu Michael wakaja kuachana kimya, ndo wakaanza urafiki na wema huyo muna kupitia kampuni yake akaanza kuandaa events ka black tie, vigodoro wakaenda vzuri tu. Sasa wema timu yake ndo wakaanza kumsakama Mara kamwibia chupi ndo wamegombana na kumwita mchawi. Sasa huyo muna ndo alikua anamlipia wema had madeni yake mawigi pia anajua siri za wema kumloga zari, huo ndo ubuyu kwa kifupi.Nisaidie jambo moja, huyu Muna ni nani maana nimedandia tu namna watu mnavyoflow!! Simfahamu kabisa zaidi ya Shilole basi
Asante sana Diva japo nimekupotezea muda ila umenipa mwanga flani. Hakika nilikuwa sifahamu chochote kuhusu huyu dada Muna!! Lakini hivi ni kweli Wema kafikia hadi kulipiwa mawigi!!? Asante tena kwa mara ya pili kwa ubinadamu wako.Huyu muna ni mdada wa mjini mwanzo alikuwaga rafiki na lulu Michael wakaja kuachana kimya, ndo wakaanza urafiki na wema huyo muna kupitia kampuni yake akaanza kuandaa events ka black tie, vigodoro wakaenda vzuri tu. Sasa wema timu yake ndo wakaanza kumsakama Mara kamwibia chupi ndo wamegombana na kumwita mchawi. Sasa huyo muna ndo alikua anamlipia wema had madeni yake mawigi pia anajua siri za wema kumloga zari, huo ndo ubuyu kwa kifupi.
Huyu muna ni mdada wa mjini mwanzo alikuwaga rafiki na lulu Michael wakaja kuachana kimya, ndo wakaanza urafiki na wema huyo muna kupitia kampuni yake akaanza kuandaa events ka black tie, vigodoro wakaenda vzuri tu. Sasa wema timu yake ndo wakaanza kumsakama Mara kamwibia chupi ndo wamegombana na kumwita mchawi. Sasa huyo muna ndo alikua anamlipia wema had madeni yake mawigi pia anajua siri za wema kumloga zari, huo ndo ubuyu kwa kifupi.
Alafu bado anafanya mambo ya kishambaUmri unaenda..
Kipofu kaona???Huna tofauti na kipofu aliyeona punda.
Wema yupo yupo tu mjini jina kubwa ila hana kitu ka had bill muna alikua ana msaidia, hayo mawigi ya kuvaa had kucha kupakwa ana mikopo. Asipopata danga kuishi kwake mjini kugumu, ndo maana anakongorokaAsante sana Diva japo nimekupotezea muda ila umenipa mwanga flani. Hakika nilikuwa sifahamu chochote kuhusu huyu dada Muna!! Lakini hivi ni kweli Wema kafikia hadi kulipiwa mawigi!!? Asante tena kwa mara ya pili kwa ubinadamu wako.
Diva, unamaanisha Wema anatumia dawa za kulevya!!!!?Wema yupo yupo tu mjini jina kubwa ila hana kitu ka had bill muna alikua ana msaidia, hayo mawigi ya kuvaa had kucha kupakwa ana mikopo. Asipopata danga kuishi kwake mjini kugumu, ndo maana anakongoroka