Wema Sepetu: Niliuweka pembeni "u-star" wangu ili kuwa na Munalove,lakini ushamba wake umenishinda

USA mbele kwa mbele.
IMG-20161108-WA0014.jpg
 
Si ajabu utakuta na wewe ni mwanaume!!
Sjakuelewa...ntakuta namim mwanaume wakti nilishajikuta....nampenda Lulu hana mambo ya ajabu ajabu...wema kila siku yeye kugomban na wenzio too bad bna!! Mwanke lazma uwe polite,calm ,smiling all the moments and welcoming ,sasa huyu juz kati tu kaachana cjui nani saiv tena eeee ....let it go!
 
Ije tu hyo timu wema ambayo ni useless wana mikosi kuanzia ukuchani had utosini wakiongozwa na mange kimambi. Wakaoge njia panda kutoa mikosi na gundu tena na hamu nao sasa waje
Nisaidie jambo moja, huyu Muna ni nani maana nimedandia tu namna watu mnavyoflow!! Simfahamu kabisa zaidi ya Shilole basi
 
Huyu muna ni mdada wa mjini mwanzo alikuwaga rafiki na lulu Michael wakaja kuachana kimya, ndo wakaanza urafiki na wema huyo muna kupitia kampuni yake akaanza kuandaa events ka black tie, vigodoro wakaenda vzuri tu. Sasa wema timu yake ndo wakaanza kumsakama Mara kamwibia chupi ndo wamegombana na kumwita mchawi. Sasa huyo muna ndo alikua anamlipia wema had madeni yake mawigi pia anajua siri za wema kumloga zari, huo ndo ubuyu kwa kifupi.
 
Asante sana Diva japo nimekupotezea muda ila umenipa mwanga flani. Hakika nilikuwa sifahamu chochote kuhusu huyu dada Muna!! Lakini hivi ni kweli Wema kafikia hadi kulipiwa mawigi!!? Asante tena kwa mara ya pili kwa ubinadamu wako.
 
Duuh watu tunaoish muda mrefu tunaona na kusikia mengi
 
Asante sana Diva japo nimekupotezea muda ila umenipa mwanga flani. Hakika nilikuwa sifahamu chochote kuhusu huyu dada Muna!! Lakini hivi ni kweli Wema kafikia hadi kulipiwa mawigi!!? Asante tena kwa mara ya pili kwa ubinadamu wako.
Wema yupo yupo tu mjini jina kubwa ila hana kitu ka had bill muna alikua ana msaidia, hayo mawigi ya kuvaa had kucha kupakwa ana mikopo. Asipopata danga kuishi kwake mjini kugumu, ndo maana anakongoroka
 
Hivi Tanzania Miss ni Wema tu au? Always she make a scene kwann? Wadogo zake kina Nancy wameolewa huko wako kimyaa na ndoa zao
Kina Kamanzima wako busy na shughuli zao
Flaviana matata wanapaa kila siku
Lakini yeye kila siku ni redioni-magazetini, redioni-magazetini
Binafsi nimeshamchoka, bora uyo Muna kuliko yeye
 
Wema yupo yupo tu mjini jina kubwa ila hana kitu ka had bill muna alikua ana msaidia, hayo mawigi ya kuvaa had kucha kupakwa ana mikopo. Asipopata danga kuishi kwake mjini kugumu, ndo maana anakongoroka
Diva, unamaanisha Wema anatumia dawa za kulevya!!!!?
 
Back
Top Bottom