Wema Sepetu: Niliuweka pembeni "u-star" wangu ili kuwa na Munalove,lakini ushamba wake umenishinda

mbona wema kazeeka hivi ghaflaaa

View attachment 431033
Wema hajazeeka wazee !bado sana kuzeeka ila ni chakavu sana tu kwa kuwa matumizi yamezidi na sisitiza sepenga si mzee balu amechakaa!
Mfano ukiwa na gari jipya ukaligongagonga litakywa limezeeka au linechakaa?
 
wema kupona na kuwa mzima haiwezi kutokea maana yote ayafanyayo karithi kutoka kwa mama, sasa kama wema anaona muna mshamba basi mshamba zaidi ni mama ake aliemchukua muna na kumfanya shoga yake., Wema aliteleza badala ya kuamka kabaki chini akipiga mayowe ndio basi tena.
 
Huyo si aligombea ubunge akataka kumg'oa jamaa flani hivi... Sijui anakadi namba ngapi ya chama pendwa... Naona na yeye yupo class anaisoma namba !!!! O[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi ninaona tatizo la wema ana wivu sana hasa akiona rafiki yake anamzidi mvuto!hii ni kwasababu anajiona mzuri kuliko wengine!Nina experience sana na wadada wa haina kama ya wema coz yalishanitokea kwa marafik kam wawil hv,walikuw na tabia ya kuanzisha ugomv usio na kichwa wala miguu hasw kama tukikutana sehema za starehe!hii ni kwa sababu anataka yy tu ndo atongozwe ,na inapokuw tofaut ndo hapoo ataanz bif na we we!!yaan badal ya kutongozw yy alikuw anauliziwa kuhus mm na jins ya kunipata !!!!!so ndo hapooo bif kam la wem linapoibuk utasikia hooo mar mshamba! Si type yang !anakibur nk
 
Sepenga kishamfilisi huyu kijana. saivi kabaki anachekesha chekesha tu.
Duuh.. warembo wote wale aliwaacha akaenda kwa Wema..? Yule binti wa Uganda aliekuwa nae bba alikuwa bomba kabisa..
 
umeifanya nifukunyunyue avatar yako nione utamu
 
umeongea vzr sina cha kuongeza!
 
Wema alipata wivu baada ya muna kusifiwa kuwa ni mchapa kazi hodari na lile gari alilonunua muna na kuliandika jina lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…