wambeke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 2,655
- 2,650
Matumizi ya AnasaSasa anawafilisi kwa matumizi au?maana simuoni kama anatajirika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matumizi ya AnasaSasa anawafilisi kwa matumizi au?maana simuoni kama anatajirika
Wema hajazeeka wazee !bado sana kuzeeka ila ni chakavu sana tu kwa kuwa matumizi yamezidi na sisitiza sepenga si mzee balu amechakaa!
Wema ujanja wako mjini ni nini? Kama ni ustar mbona hauna class? Watoto wadogo waliotoka mikoani wamengia mjini wengi wao walikuja kujiunga na UDSM sasa wamemaliza shule, wanafanya kazi, bado jioni utawakuta Mlimani City wakielekea UDSM wanafanya post graduate zao evening classes, wale tunaweza kuwaona wajanja.
Hata Lulu tunaweza kumuoana mjanja, anamiliki biashara, hana magroup ya marafiki wala siri zake hazivuji ovyo. Wema angalia wapi unakosea ujirekebishe, kiburi si uugwana.
si unaona kina Idrissa wamemtumia mpka wamefilisika wamekimbizwa watakuja wengine tena yaan bado sana anatumika
sura ishasoma kilomitaUmri unaenda..
Alah hujuiMkuu Idrissa kafilisika zile $300,000 zimeisha..?[emoji15] [emoji15]
Sheikh sijakuelewa..Alah hujui
Sepenga kishamfilisi huyu kijana. saivi kabaki anachekesha chekesha tu.Sheikh sijakuelewa..
Duuh.. warembo wote wale aliwaacha akaenda kwa Wema..? Yule binti wa Uganda aliekuwa nae bba alikuwa bomba kabisa..Sepenga kishamfilisi huyu kijana. saivi kabaki anachekesha chekesha tu.
rimoyo rake lilidondokea kwa sepenga.Duuh.. warembo wote wale aliwaacha akaenda kwa Wema..? Yule binti wa Uganda aliekuwa nae bba alikuwa bomba kabisa..
Basi hilo rimoyo rake naona limetengenezwa na mabua lol..rimoyo rake lilidondokea kwa sepenga.
Yani ngozi ya ktk titi na usoni ni tofauti, sijui huo uvungu upojeBega la Wema linakaribia kuanguka ila wenyewe wanasemaga ati "age is just a number"
umeifanya nifukunyunyue avatar yako nione utamuMi ninaona tatizo la wema ana wivu sana hasa akiona rafiki yake anamzidi mvuto!hii ni kwasababu anajiona mzuri kuliko wengine!Nina experience sana na wadada wa haina kama ya wema coz yalishanitokea kwa marafik kam wawil hv,walikuw na tabia ya kuanzisha ugomv usio na kichwa wala miguu hasw kama tukikutana sehema za starehe!hii ni kwa sababu anataka yy tu ndo atongozwe ,na inapokuw tofaut ndo hapoo ataanz bif na we we!!yaan badal ya kutongozw yy alikuw anauliziwa kuhus mm na jins ya kunipata !!!!!so ndo hapooo bif kam la wem linapoibuk utasikia hooo mar mshamba! Si type yang !anakibur nk
umeongea vzr sina cha kuongeza!Asee kama u don deal with 'washamba' ilkuaje ukakubali awe rafikiyo from the first place????
Mshamba ni wewe Wema usojua kutumia akili yako na jina lako kuwa utakapo...
Ulishindwa ku use nafasi yako,Muna kaitumia na kafaidika probably...
Pole Wema huna jipya,ushagombana na kila mtu sijui akitoka Muna who will be next....
Wema alipata wivu baada ya muna kusifiwa kuwa ni mchapa kazi hodari na lile gari alilonunua muna na kuliandika jina lake.Mi ninaona tatizo la wema ana wivu sana hasa akiona rafiki yake anamzidi mvuto!hii ni kwasababu anajiona mzuri kuliko wengine!Nina experience sana na wadada wa haina kama ya wema coz yalishanitokea kwa marafik kam wawil hv,walikuw na tabia ya kuanzisha ugomv usio na kichwa wala miguu hasw kama tukikutana sehema za starehe!hii ni kwa sababu anataka yy tu ndo atongozwe ,na inapokuw tofaut ndo hapoo ataanz bif na we we!!yaan badal ya kutongozw yy alikuw anauliziwa kuhus mm na jins ya kunipata !!!!!so ndo hapooo bif kam la wem linapoibuk utasikia hooo mar mshamba! Si type yang !anakibur nk